kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,624
- 1,826
hahaaaa mpaka kiishe kisabuni utakua ushaipa mimba mikono yakoKipande cha sabuni ni jero.
Ukiona kitu hakikulipi achana nacho angalia mbadala.
hahaaaa mpaka kiishe kisabuni utakua ushaipa mimba mikono yakoKipande cha sabuni ni jero.
Ukiona kitu hakikulipi achana nacho angalia mbadala.
aiseeUmejuaje kama tunapata raha zaidi?
Kutoa machozi mwanaume pindi amtongozapo mwanamke ni Moja ya Mbinu za Kivita kwa Mabaharia.. 😀:
Win win situation kivipi? Umenitomgoza wewe tena kwa kutoa machozi
Wabahili
Kale ka mchezo kakutaa hela tuliacha,baada ya kuanza kula fitofu.Eti Wanawake Sikuhizi Mmekuwa TRA, TRAFFIC OFFICERS, AU?
Maana mwanaume akiingia tu kwenye 18 lazima achajiwe, japo sijajua ni faini au tunalipia huduma..?!
Tena unakuta kidume unakaziwa macho balaaaa, Yaani lazima utoe, ata watani zangu wahee kale ka mtindo ka kukataa kuupokea pesa kutoka kwa mwanaume sijuhi kameishia wapi maana ilikuwa ata umlazimishe vp na kumbembeleza achukui ata kwa dawa.
Balaa Sikuhizi sijuhi ndiyo kusema kizazi cha hudangaa?