Wanawake mmekuwa watoza ushuru au?

Dalali Bunju

Member
Feb 10, 2014
44
65
Eti Wanawake Sikuhizi Mmekuwa TRA, TRAFFIC OFFICERS, AU?

Maana mwanaume akiingia tu kwenye 18 lazima achajiwe, japo sijajua ni faini au tunalipia huduma..?!

Tena unakuta kidume unakaziwa macho balaaaa, Yaani lazima utoe, ata watani zangu wahee kale ka mtindo ka kukataa kuupokea pesa kutoka kwa mwanaume sijuhi kameishia wapi maana ilikuwa ata umlazimishe vp na kumbembeleza achukui ata kwa dawa.

Balaa Sikuhizi sijuhi ndiyo kusema kizazi cha hudangaa?
 
Wanaume wote tukiwa na pesa Kuna kitu wanawake watavumbua Cha kutuomba tu huwa hawaishiwi visa na Mikasa..
 
Kwani waliwaita umejipeleka mwenyewe acha uchunwe tuu

Wote mnatamaa Kama fisi
Mwanaume unatamaa na papuch
Mwanamke anatamaa na pesa zako

Kwa pamoja tunawaita MAFISI
tapatalk_1549982209382.jpeg
 
Eti Wanawake Sikuhizi Mmekuwa TRA, TRAFFIC OFFICERS, AU?

Maana mwanaume akiingia tu kwenye 18 lazima achajiwe, japo sijajua ni faini au tunalipia huduma..?!

Tena unakuta kidume unakaziwa macho balaaaa, Yaani lazima utoe, ata watani zangu wahee kale ka mtindo ka kukataa kuupokea pesa kutoka kwa mwanaume sijuhi kameishia wapi maana ilikuwa ata umlazimishe vp na kumbembeleza achukui ata kwa dawa.

Balaa Sikuhizi sijuhi ndiyo kusema kizazi cha hudangaa?
Tulikosea sana kutoa uhuru usiokuwa na mipaka kwa wanawake kwa kuona mila na dini zetu ni kandamizi, sasa wanawake wengi (majority) hadi walio ktk ndoa wanafanya biashara ya ngono ni hela yako tu, sababu ya kupuuza hizo zinazodaiwa mila kandamizi na dini zetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom