Dalali Bunju
Member
- Feb 10, 2014
- 44
- 65
Eti Wanawake Sikuhizi Mmekuwa TRA, TRAFFIC OFFICERS, AU?
Maana mwanaume akiingia tu kwenye 18 lazima achajiwe, japo sijajua ni faini au tunalipia huduma..?!
Tena unakuta kidume unakaziwa macho balaaaa, Yaani lazima utoe, ata watani zangu wahee kale ka mtindo ka kukataa kuupokea pesa kutoka kwa mwanaume sijuhi kameishia wapi maana ilikuwa ata umlazimishe vp na kumbembeleza achukui ata kwa dawa.
Balaa Sikuhizi sijuhi ndiyo kusema kizazi cha hudangaa?