Tufanye Kazi jama..iyo ndo njia pekee!!amin kwambaInashangaza baadhi ya wanawake wa mjini wasaka ngono anaonyesha interest kwako na mwisho wa siku unaona ok ngoja tumalize! Mnakutana atakula na kumya tena anachotaka, pale mnataka kuanza mchezo anajigeuza...tena siku ya kwanza anaanza story za
1. Utanipa nn?
2. Simu yangu inashida
3. Kesho nataka kusuka
4. Mwezi huu kodi inaisha
.
.
Mimi siku ya kwanza mtu akishaanza stori hizo natoka taratibu au nafanya na hanioni tena!
Ushauri wangu kwenu msidhani hiiyo kitu ni bidhaa adimu mpaka mnaanza kuleta shida zenu! Kama unauza sema mapema mtu ajui wewe muuzaji achague kununua au aende zake. Siyo unakula na kumya alafu unaleta shida zako!
Swala si kulalamikia pesa! Kwa nini usiseme unataka sh ngapi mapema na mtu akafanya maamuzi! Na kwa nn unaanza kujilegeza kwa mtu lkn kumbe shida yako ni mafuta au simu au kodi....uoni huu ni utapeli?Mmh! Ifikie kipindi hichi kilio mkiache sasa yaani bila nyuzi za kulalamikia pesa mnahisi maisha hayawezi kusonga.
Na wakukomesha hii kitu ni nyie nyie Me, na pia mjitahidi kujua tofauti iliyopo kati ya mwanamke na mwanaume.
Wewe sasa ndio uukatae huo unaouita utapeli na sio kulalamika.Swala si kulalamikia pesa! Kwa nini usiseme unataka sh ngapi mapema na mtu akafanya maamuzi! Na kwa nn unaanza kujilegeza kwa mtu lkn kumbe shida yako ni mafuta au simu au kodi....uoni huu ni utapeli?
Ndo unavyofanyaga?Naww unampa ahadi ya kufanya yote hayo kesho yake ukishamla unapotea
Navyofanya kwa nani sasa?Ndo unavyofanyaga?
Nokia83 lakini si umefurahia wewe jitutumue tuNaww unampa ahadi ya kufanya yote hayo kesho yake ukishamla unapotea
Nitafurahia vp na umenikataaNokia83 lakini si umefurahia wewe jitutumue tu