Natoa povu kidogo,
Yani hawa wanawake tunaoa wa sikuhizi ni mizigo mitupu, unakuta umeishi vizuri tu kipindi cha ubachela wako maisha safi kabisa yasio kuwa na bugudha ila kwakuwa ni formalities tu za maisha na kiafrika unaamua kuoa mwanamke unaweka ndani, mwanzo anakuwa mtu kweli, mkishazoeana ndani huko, ndo utajua kwamba duniani hakuna kosa kubwa kama kuoa.
Wanawake walio wengi ya sikuhizi ni michafu, haijali, kitandani ndo mizigo iliyopitiliza, kila kazi anafanya beki tatu, yani hata ile karibu chakula anakwambia beki tatu.
Siku ya kupika chips ama pilau ndo utayaona jikoni, ina nyodo za kijinga mpaka mtu unaweza hivi huyu ningemkuta na bikra yake ingekuaje wanawake mjirekebishe tunakuwa kimya sio kwamba tunapenda, ni heshima tu.