Manteeq
Member
- Dec 5, 2011
- 14
- 6
Poleni kama itawauma ila i just have to say it. Okay that been said...
Umeanza uhusiano na mwanaume, umemkuta anakazi yake nzuri tu. Lakini yeye kuwa na kazi isiwe sababu ya mizinga kila kukicha...
Umemkuta ana kazi, that means ana malengo yake, kama kiwanja, kujenga, gari n.k, na mshahara mara zote huwa hautoshi, wewe unaingia into the picture, mara Vocher, simu imeibuwa sijui imeingia maji ukiwa unafua, mara ada sijui ya nn, nyumbani sijui kuna tatizo gani, hapo hapo akuvalishe, saluni seriously...we have our own problems n plans to worry about. Tena unataka anunue gari, awe na nyumbana, atafanyaje hivyo vitu kama you keep on interfering with his budget...
Please girls be considerate for christ sake...ndo hapo we unaona umemuambo hela ndogo tu yeye anamind...you don't know mshahara wake au hata budget yake ya kwenda kazini na kurudi kila siku ikoje, kama ana wadogo zake wa kuwa somesha...we ukinyimwa unanuna tuuu...this is real fu%&@ck up...