Kabla ya kumuingiza mke ndani lazima mkubaliane n asipokubali au kama ikatokea anabadilika mkubaliane kila mtu aishi kivyake
1. Lazima ajue na akubali kwamba kila unachokipata nayeye anachokipata kama mapato ni mali ya watoto wenu au ya wote si vinginevyo mshahara, marupurupu ni mali ya familia akikataa achana naye ni mjanja atasumbua. 2 pasiwepo na siri kati yenu, 3. Akubali kuwa buzy na familia muda baada ya kazi.