Wanawake mjifunze kukata viuno

Mimi ni Muislamu habar za wachungaji kuruhusiwa kukata viuno sitaweza kujua km ni sawa au si sawa.
Naamini kaz ya mch na shekhe hazitofautian, kwakuwa wote ni viongozi wadini, wanachotofautiana ni imani tu lkn wte wanawajibu wa kuwafunza na kuwahimiza watu wao kuwa na maadili mema na kufanya kaz kwa bidii kujiletea maendeleo
 
Hii habari ya noah usifikiri watu wako serious wanasubiri kupewa

Kinachofanyika panapozungumziwa noah ni kama dhihaka kwa aliyeyaleta ya noah
 
Mbinu wanazotumia kupiga mizinga wangekuwa nazo kwenye viuno Ndoa zingedumu sana!
 
Naamini kaz ya mch na shekhe hazitofautian, kwakuwa wote ni viongozi wadini, wanachotofautiana ni imani tu lkn wte wanawajibu wa kuwafunza na kuwahimiza watu wao kuwa na maadili mema na kufanya kaz kwa bidii kujiletea maendeleo
OK kwa upande Wangu uislam ni dini yenye kuhusu mfumo mzima binadamu kuanzia kuzaliwa mpk kufa . Kwa hiyo haujaacha kitu kila kitu Kiko wazi katika Quran. kwenye Swala la ndoa wanandoa mnatakiwa mfurahishane kadri muwezavyo mradi msifanye vitu vilivyoharamishwa katika dini Mfn kumuingilia kinyume na maumb mwanamke. Au kujimai na mwanamke katika siku zake nk


Kusema wakajifunze kwa flani kwa upande Wangu Inaweza ikawa sahihi au sio sahihi

Mfano kwa waislam kuna madrasa special kwa wanawake tu huko yanafundishwa mambo yote ya dini hususani ya mwanamke na hawaachi kitu kwakwel hili ni Darsa Kisheria linakubaliwa .hapa anaweza akawaelekeza kwa sababu ni darsa linalofata misingi na sheria ya dini

Lakini si sawa Kama hili Darsa au mfundishaji anatumia nyenzo na mambo yaliyaharamishwa katika dini, unakuta labda wanafundishwa kwa kuwekewa muziki, au ngoma ni haram ktk dini
 
Ukimruhusu mwanamke akatike ina maana kakuzidi ufundi katika mchzo mzima.
 
Ukimruhusu mwanamke akatike ina maana kakuzidi ufundi katika mchzo mzimam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…