habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
hAmani ya iwe nanyi watu wa Mungu,
Kwa wale mnoendelea kusubiri noa kazi kwenu, endeleeni na imani yenu itawapatia noa.
Km kichwa cha habari kinavyosomeka na hayo si maneno yangu Bali ni maneno kutoka kwa Mch mmoja kwa jina km sikosei anaitwa Mitomingi.
Mch kuwafundisha washirika wake kwamba wakajifunze kukata viuno ni sahihi? Zaidi anatoa na mfano kabisa kwamba Magomeni kuna mwanamama shangingi ndio kazi yake ya kufundisha wanawake kukata viuno na malipo ataleta baada ya kupata faida ya hicho alichojifunza kwake
Watu wa Mungu ni sahihi mafundisho km haya kufundishwa na Mch ndani ya kanisa?
Karibuni
Viuno vingine ni vipana sana kukatika ni shidaKuna Madada Wana Viuno Vigumu Sana Kiasi Kwamba Akianza Kukatikia Dushelele Unabaki Kucheka Tu
Amani ya iwe nanyi watu wa Mungu,
Kwa wale mnoendelea kusubiri noa kazi kwenu, endeleeni na imani yenu itawapatia noa.
Km kichwa cha habari kinavyosomeka na hayo si maneno yangu Bali ni maneno kutoka kwa Mch mmoja kwa jina km sikosei anaitwa Mitomingi.
Mch kuwafundisha washirika wake kwamba wakajifunze kukata viuno ni sahihi? Zaidi anatoa na mfano kabisa kwamba Magomeni kuna mwanamama shangingi ndio kazi yake ya kufundisha wanawake kukata viuno na malipo ataleta baada ya kupata faida ya hicho alichojifunza kwake
Watu wa Mungu ni sahihi mafundisho km haya kufundishwa na Mch ndani ya kanisa?
Karibuni
contact ya huyo mama wa magomeni pleaseAmani ya iwe nanyi watu wa Mungu,
Kwa wale mnoendelea kusubiri noa kazi kwenu, endeleeni na imani yenu itawapatia noa.
Km kichwa cha habari kinavyosomeka na hayo si maneno yangu Bali ni maneno kutoka kwa Mch mmoja kwa jina km sikosei anaitwa Mitomingi.
Mch kuwafundisha washirika wake kwamba wakajifunze kukata viuno ni sahihi? Zaidi anatoa na mfano kabisa kwamba Magomeni kuna mwanamama shangingi ndio kazi yake ya kufundisha wanawake kukata viuno na malipo ataleta baada ya kupata faida ya hicho alichojifunza kwake
Watu wa Mungu ni sahihi mafundisho km haya kufundishwa na Mch ndani ya kanisa?
Karibuni
Msuluhishi heshima kwako,Ndugu yangu “Habari ya Hapa”, habari unayoizungumzia nyingine lakini unaanza na mambo ya watu kupewa Noah za bure! Nimekuwa nikisoma humu mara nyingi sana kuhusu hili suala la Noah za bure! Haya mawazo ya Noah za bure sijui yametoka wapi maana kuwaza na kutamani na mpaka kufikia hatua ya kuandika kuhusu Noah za bure ni utumwa fulani wa kupenda kupewa vitu vya bure. Kwa vile inayosemwa kutoa hizo Noah bure ni Serikali basi watu hao wanaoshabikia wazo la Noah za bure wanaona ni haki yao kupata vitu bure kutoka Serikalini! Haya ni mawazo dhaifu na ambayo ndiyo yalileteleza watu kuwa wanajichukulia au kuiibia hovyo Serikali kwa kuamini kwamba ni haki yao kufanya hivyo. Acheni kuwa na mawazo hayo ya kimaskini na ya kipuuzi. Mtu mzima unazungumzia kupata vitu bure kutoka Serikalini century hii ya 21 na anaona ni busara, kweli? Watu kama hao ndiyo wanaweza kuiibia nchi na Serikali kwa kufikiri wanachukua kilicho chao. Acheni upuuzi huo. Mtu akitaka Noah anunue mwenyewe siyo asubiri Serikali imletee bure! Hakuna Serikali yoyote inayotoa hata baiskeli bure kwa wananchi wake.
Ni sahihi mch kufundisha waumini wake wakajifunze kukata viuno?Kwa kuwa ni swali kwa wachungaji acha nipite. Sitolijibu kwa uweledi
Hahahaha mkuu hakutaja hadharan mawasiliano yake,contact ya huyo mama wa magomeni please
Ndo waende magomeni, nasikia anafundisha bure ukienda ukafanikiwa ndo utampelekea zawadiMadada wengi sio wachinjaji na wala hawafanyi kazi buchani..
Sasa hivyo viuno wajifunzie wapi kukata? Na kwa kazi gani?
Hahahahaha mkuu kwa hiyo mch yupo sahihi?Kuna Madada Wana Viuno Vigumu Sana Kiasi Kwamba Akianza Kukatikia Dushelele Unabaki Kucheka Tu
Mimi ni Muislamu habar za wachungaji kuruhusiwa kukata viuno sitaweza kujua km ni sawa au si sawa.Ni sahihi mch kufundisha waumini wake wakajifunze kukata viuno?