Wanawake mje mseme ukweli.

Wanawake mje mseme ukweli.

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,285
Reaction score
39,490
Dada zetu wenye experience na sisi wanaume haya yanayosemwa ni kweli??
Zifutazo ndizo sifa walizanazo wanaume katika ulimwengu wa wapenzi na mahusiano:

1. Ukimkuta handsome, mawazo yake yanakuwa ni ya kitoto

2. Ukimkuta genius…yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.

3. Ukimkuta tajiri, hawezi kukuheshimu utamkuta madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimkuta mfanyakazi hodari na mtafutaji, hana muda wa kuwa na wewe yeye muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimkuta mnyenyekevu…mfukoni huwa 0%.

6. Ukimkuta anayependa kwa dhati…anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazozitaka.

7. Ukimkuta msomi hasikilizi ushauri wako..anakuona boya tu.

8. Ukimkuta yule smart ni muongo to the maximum na player.

Binafsi naona uongo tu sio kweli hizo iman tu. Me mbna handsome ila very intelligent
 
Kujisifia handsome ni kidhibitisho tosha kuwa wewe una mawazo ya kitoto. So, usisubiri wadada kuja kujibu.
 
Sishangai coz wewe ni msukuma
Wazee wa kupiga menyu nzito
IMG-20170712-WA0022.jpeg
 
Wale tulowapata mahandsome, workholic, waaminifu, wanajali tuna comment wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom