Wanawake michosho kweli jamani

Ana matatizo ya afya ya akili huyo. Achana nae kijana na utafute mwingine. Au yawezekana hana nguvu za kike!!!!
 
Mie nakumbuka mpaka 25 wachumba walikuwa wananibaka maana sitoki kabisa hata iweje yaani maisha yangu mengi nikulazimishwa tu Kwa hiyo usimjudge ana shida tu fulani na ipo siku utakuja kujua
 
Mie nakumbuka mpaka 25 wachumba walikuwa wananibaka maana sitoki kabisa hata iweje yaani maisha yangu mengi nikulazimishwa tu Kwa hiyo usimjudge ana shida tu fulani na ipo siku utakuja kujua
Pole sana, au ulilelewa ktk mazingira ya kidini sana?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…