The Crushing
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 569
- 903
kiingereza kwetu sisi ni mistari mi tatu mpaka mitano zaidi ya hapo ni uchau tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaona maluwe luwe? Nasikia ukilewa kizungu kinapanda, hebu nitafsirie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ooh penye miti Hakuna wajenzi,
[emoji3]nimeelewa tu hapo "lakini akaja kumuacha "... hayo maandishi mengine Mmhh
Sent using Jamii Forums mobile app
Alimuambia kuwa hafai kuw nae mtukama yule maana hakuwah kuingiahata kanisan zaid ya kumleta demu wake na kusepa ,Sasa wat happened to a man??
Mchungaji alisema nini Mpka ukaamua kumuacha?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaaNikisomaga hizi love story ..
Ikifika point ya he was such a gentlemen , utasikia he opened the door for me , f***k , kumbe u gentleman ni kumfungulia demu mlango sio. .??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi naamini hivyo, atakapo kuja kujutia alicho kifanya... Atakuwa ameshachelewa
Niaje