Watu mnapenda ushambenga hadi mmebadilisha maana ya topic. Hapa Joy a anapewa Hongera kwa kuweza kuonyesha wanawake wa vijijini wanavyoidhi. Mambo ya mme na ndoa yanahusikaje?
Umbea haulipi jamani. Mpenzi tu Hongera zake. Kweli huyu dada ni mwanamke wa Shoka.
Mwanaume ni majukumu na si suruali. Ndoa inaweza kuwa ilifungwa na kasisi lakini Haina baraka za Mungu.