Niko kijijini huku kuna kibaa mshezi mwenye hiki kibaa ameleta mabamedi saba kwa ajili ya kujiuza unajiuliza hawa wanakijiji hata kuoga hawaogi sijui hawa mama zetu wanapata raha gani.
Maoni yangu nadhani wanawake wa kiafrika kuna jambo linamiss kichwani mwao