Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,090
- 11,272
Kama hawezi kuchagua Bora Atulie na mmojaIssue ya kuchagua tufanye kavu au na condom sio kazi ya mwanamke....
Achague jeuri hyo anatoa wapi?
Huyo mmoja aliyemchagua anao msururu wa wanawake kama watano hivi, tricky!!!Kama hawezi kuchagua Bora Atulie na mmoja
Ikiwa Kama Partner hayupo Tayari kusettleHuyo mmoja aliyemchagua anao msururu wa wanawake kama watano hivi, tricky!!!
Kwa hiyo yeye akiwa na msururu ni tiketi ya wewe kuwa na msururu?Huyo mmoja aliyemchagua anao msururu wa wanawake kama watano hivi, tricky!!!
Akishakuwa na msururu manake ni kwamba hoja ya wewe kutulia haina mashiko, utaambukizwa maradhi kama kawaida.Kwa hiyo yeye akiwa na msururu ni tiketi ya wewe kuwa na msururu?
Oweni wanawake wazuri na wanaojitambua mtulie kwenye ndoa zenu bwashee 😁Akishakuwa na msururu manake ni kwamba hoja ya wewe kutulia haina mashiko, utaambukizwa maradhi kama kawaida.
Huyo mwanaume ndo Mimi japo Sina ukimwi, so wanawake wasinikimbie.Ukiachana na udhaifu wa kushinikiza matumizi ya kinga, maumbile ya wanawake ni laini sana huko ndani make muda wote panakuwa "pabichi"
So akikutana na njemba iliyo shiba ugali wa dona na maharage na isiyopenda kutumia kinga, uhakika wa kuichakata mbususu na kuichanachana kwa show kali ni 100%
Tumetulia mangii, sema mara moja moja tunashtua maana hawa watu tumeumbiwa bwashee!!Oweni wanawake wazuri na wanaojitambua mtulie kwenye ndoa zenu bwashee 😁
Tatizo lenu mlikimbilia kuoa mkaoa wanawake ili mradi tu ,ndio maana mnakua wazinzi😅😅😅Tumetulia mangii, sema mara moja moja tunashtua maana hawa watu tumeumbiwa bwashee!!
Hii ndio nukuu ya Ayattoulah aliukuachia au?Mwanamke ili akuvulie chupi lazima awe na sababu na sababu ikishakuwa ni upendo basi utamfanya utakavyo hatauliza pesa wala kondom
🤗🤗Ukiwa sober unakua(ga) full charge sana lelooo.Oweni wanawake wazuri na wanaojitambua mtulie kwenye ndoa zenu bwashee 😁
Hata uoe malaika, swala la kula kisela lipo pale pale mangiii🤣Tatizo lenu mlikimbilia kuoa mkaoa wanawake ili mradi tu ,ndio maana mnakua wazinzi😅😅😅