Wanawake kwisha habari yao

Mleta mada nakukumbusha tu kuwa kuna maisha pia bila ndoa. Kuna watu wanajuta na ndoa zao kiasi cha kujitoa uhai. Ni heri niwe peke yangu ila niishi kwa amani kuliko kuikimbilia ndoa itakayogeuka ndoano!
Haya maneno ya kujifariji tu. Ndoa ina raha yake bwana. Asikudanganye mtu
 
Humjui Joka Jeusi Mkuu, Hata wewe kama upo timamu huwezi nikataa. Hiyo ni mada Mkuu
Wanaume wengi wanaokataliwa ndo wanajifichaga kwny mafungu ka hayo
Huwezi pata mwanamke af ukaja na mafungu juu haimake sense
 
Wanaume wengi wanaokataliwa ndo wanajifichaga kwny mafungu ka hayo
Huwezi pata mwanamke af ukaja na mafungu juu haimake sense

Sipingani na mtazamo wako. Ila naitwa Joka huenda hunifahamu vizuri. Nakuja tufahamiane then hutaandika tena jambo hilo
 
Hapo kwa Isaya ni unabii mara mbili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…