Wanawake kweli hawaeleki

Mwanaume huyohuyo anatakiwa ahakikishe umekula, umelala pazuri, umesuka, ukidumbukiza Tecno yako kwenye maji anunue nyingine, Chupi anunue, sijui kuna harusi ya kaka yako mtoto wa shangazi mkubwa unachukua card ya kamati na ahadi unatoa hela atalipa mumeo, huku anapambana na Athumani amlipe deni, bado stress za kazini au Biashara ngumu, bado kuna marejesho ya mkopo huku mtoto inabidi apelekwe shule nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…