Wanawake kwanini mnapenda wanaume wakorofi kuliko wapole?

Mmmm mkorofi,mbabe huna hela,kitandani zero,yote hayo awenayo yeye niamini mkuu hatakiwi kwanza atakua mpole mwenyewe, ukiona ana ukorofi flani basi ujue kuna sehemu Fundi,sasa pale kwenye ufundi ndio unasahau mabaya yake yote kama umesha wahi kusikia nimempenda kwa mengi ana usione vile huyu ni mtu mzuri ila sema tuu hakuna alokamilika..ujue kuna sehemu jamaa ana patia vizuri na hakuna wakuchukua nafasi yake,huoni hata wanaume kuna wengine mwanamke anamtukania mpaka mamake mzazi mbele za watu ila yupo tuuu unajiuliza huyu mwanamme vipi kumbe anaguswa ndipo..
 
Asilimia kubwa ya wanawake hawapendi shida za njaa na upweke. Hivo wanachagua waume wakorofi wakiamini hilo tatizo litatuliwa kwa huo ukorofi. Pili wanaume wakorofi hawanaga hofu ya maisha wala matatizo ya kindoa wanajiamini kwa asilimia kubwa ktk maisha. Wanawake hawampendi kabisa mwanaume asiejiamini kwa lolote, wanahisi hatakuwa msaada ktk maisha pindi linapotokea shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina vyo fahamu kuna aina 3 za wanaume

1.Handsome
2.Smart
3.Ordinary
4 Ungly

Sasa hapa tunawagawa tena
1.Handsome but not smart
2.Smart but not Handsome
3.Ordinary not smart not handsome
3 Ungly Rich or Poor

Wanawake wangi wanapenda kuwa na wanaume Handsome

Asilimia inayofuata wanapenda wawe na wanaume smart

Wachache wanaishia kuwa na wanaume Ordinary ambao ni wengi ya wanaume wako hapa

Ungly! Ni wanawake wachache sana wapo tayari kuwa na mahusiano na wanaume wenye sura mbaya! Yaani wanaume wasio na mvuto na ukikuta mwanamke ameolewa au ana mahusiano na wanaume wa aina hii ujue kuna mawili
Kafuta pesa huyo mwanaume ana hela
Pili huyo mwanaume ni maarufu mwanamuziki, mwanasiasa, mwanamichezo etc.

Hakuna mwanamke wa leo hapa duniani yupo tayari kuolewa au kuanzisha mahusiano na mwanaume katili mkorofi ambae hana sifa kati ya hizo nilizo orodhesha hapo

Mwengine aongezee kama anazo



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom