Wanawake kwanini mnapenda wanaume wakorofi kuliko wapole?

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,821
Kweli nimeamini mapenzi hayana formula unakuta mwanamke yupo kwenye mahusiano na lijamaa ambalo ni likorofi na libabe ambalo halimjali wala kumpenda kwa dhati hapo hapo kuna mwanaume mpole na mkarimu ambae anahangaika kuuteka moyo wa huyo msichana lakin msichana bado anamkataa mwanaume mpole na kuendelea kung'ang'ania penzi la jamaa mkorofi

Wanawake wengine unakuta wapo kwenye mahusiano ambayo kila siku ni kipigo na unakuta mwingine kashapewa ulemavu kisa kipigo toka kwa jamaa mkorofi lakin bado mwanamke hataki kumuacha jamaa bado..eti nyie wanawake kwanini huwa mnaangukia kwenye mikono ya wanaume makauzu na wajeuri na kutuacha sisi wapole na tunaojua kucare?

Why women prefer bad boys to nice guys??
 
Mikuno ndio habari yenyewe. Hawa walioolewa na wanatutunuku nyuchi zao hadi wanazaa watoto hata watatu watakuwa na majibu mazuri zaidi
 
Not sure where, but I heard women tend to go for the bad boys so they could claim that victory if they happen to tame them. Also, majority of the mamas like being victims and the unpredictability factor them kind possess.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom