Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Mie hata siui, najisepesha mapemaaaa, hanikuti
ha ha haha kama ataongeza pato basi hamna shida
Ndio ukute una watoto na huna mahala pa kujiegemeza
Weee nazaa watoto ninaoweza kuwamudu fullstop, ye aongeze tu.
Ila kama ni bakhresa najua hata atupange uchumi bado unasoma maisha yamenyooooka, ye aongeze tu hata mia.
Mweee mimi nitauaaaa
akiongeza pato utakubali aje mke wa pili?
ndiyo nitakubali hata watatu pia pouwa tu
cute b hujambo?Ndio ukute una watoto na huna mahala pa kujiegemeza
cute b hujambo?