Wanawake kwa nini munatutoza mlichopewa bure?!.

Wanawake kwa nini munatutoza mlichopewa bure?!.

Noma sana,walipewa bure ili watoe bure [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unaweza kuazima nguo na kuirudisha Chafu, toa sabuni na nauli ya daladala
 
KUMBE KUNA WATU HUWA WANANUNUA NA KUUZA.WAJINGA BADO MPO. HALAFU NA WEW HUO MZIZI WAKO ULIUNUNUA AU ULIPEWA BURE
 
Mkuu we huwa unachajiwa? Mi mbona napataga bure
 
MIMI WA BURE NITAMPA HELA NYINGI KWA HIARI YANGU KULIKO ANAYENIUZIA HALAFU BADO HAWAJAELEWA KUWA UNAPOANZA NA HELA THAMANI YAKO
INASHUKA
AFRICAN RICH3.jpg
 
Hivi kuna risk gani mtakayopata mukitoa bure mlichopewa bure?, hiyo moja, mbili kama mnazani ni sahihi kuwatoza wanaume wanapoitaji Mbunye njooni hapa na majibu yaliyoshiba vinginevyo itakuwa munamkosea aliyewapeni bure.

Aidha kama ni suala la nani anaeona utamu zaidi baina ya ile kitu inamesa mesake na ile ingine inayomeswa, kwa nini nyie mnakuwa wakwanza kutoa mgumio wa Ngurue kwenye shamba la miwa??!, je tukisema nyie ndio mnaongoza kusikia utamu zaidi yetu na hatua zenu za kutoza ni sawa na kumkosea yule aliyewapeni bure itakuwa tumeongopa??.

Wanawake hacheni kutoza mlichopewa bure kwani kufanya hivyo munajisababishia matatizo yasiyokuwa ya ladhima.

Ni hivo tu.
Huwa kinatunzwa kwa gharama kubwa sana. Hakikupatikana bure hata siku moja.
 
Back
Top Bottom