Wanawake kwa kusengenya.....!!!!!!!

kwani kuna ubaya gani asipowarekebisha wanaume wenzake hapa jamvini kuliko wanawake wanawake wanawake wanawake wanwake wanawakeeeeeee haa tumemkoosea nini anatutafuta roho zetu huyu wewe hujui mkaka
mtambuzi ni mwanaume, hawezi kuanza kuongelea wanaume wenzie. italeta picha mbaya
 
laiti ungelijua kuwa mm hata majirani hawanijui kama niko hapo kwani naondoka majogoo kupanda na kurudi magharibi kumezama sana yaani usiku sasa watanionea wapi zaidi ya laaziz wangu KH.
Afu naskia ndo fani yako mtaani hakukaliki....
 
Mwanamke rijali shuti awe msengenyaji japo kiduchu na ndio maana inaitwa tabia ya kike ila mwanamke anatakiwa kuithibiti azawaisi utasutwa kitaani
 
This is one thing that unite majority of women regardless the color and background.....eventhough they might not have the common grounds .......lol

Simooooooooooo
 
Mwanamke rijali shuti awe msengenyaji japo kiduchu na ndio maana inaitwa tabia ya kike ila mwanamke anatakiwa kuithibiti azawaisi utasutwa kitaani

mwanamke rijali...umenichanganya. Mimi najua umbea kwa mwanamke sunna
 
aisee kuna ambao bila kusengenya hawapati usingizi, baadhi ya wanawake tumezidi aisee, na usengenyaji mara nyingi huambatana na wivu, tena mkute mna urafiki wa ki group, ndio balaa kabisaaa, wanawake sisi ni kiboko
 
laiti ungelijua kuwa mm hata majirani hawanijui kama niko hapo kwani naondoka majogoo kupanda na kurudi magharibi kumezama sana yaani usiku sasa watanionea wapi zaidi ya laaziz wangu KH.

Kama husengenyi basi wasengenywa, unaweza kuwa ni subject....waringa, hutaki kusocialise, wajifanya busy etc...............
 
Jamani sio hivyo si unajua kazi zetu za wahindi hizi ni asubuhi na usiku unafika foleni za magari basi ukifika home ndo umechoka uko hoi sasa huyo jirani utaonana anaye saa ngapi best
kama husengenyi basi wasengenywa, unaweza kuwa ni subject....waringa, hutaki kusocialise, wajifanya busy etc...............
 
aisee kuna ambao bila kusengenya hawapati usingizi, baadhi ya wanawake tumezidi aisee, na usengenyaji mara nyingi huambatana na wivu, tena mkute mna urafiki wa ki group, ndio balaa kabisaaa, wanawake sisi ni kiboko

ndo ule msemo unaosema "wanawake hawapendani" unapotumika?
 
aisee kuna ambao bila kusengenya hawapati usingizi, baadhi ya wanawake tumezidi aisee, na usengenyaji mara nyingi huambatana na wivu, tena mkute mna urafiki wa ki group, ndio balaa kabisaaa, wanawake sisi ni kiboko

Rafiki upooooooo. Its long time aisiiiii. Naogopa kuchangia nisije kutana na mkwe huku.
 
mwanamke rijali...umenichanganya. Mimi najua umbea kwa mwanamke sunna

hujaelewa nini MadameX,kwani kusengenya na umbea si ndio mulemule? ndo mana nkasemwa mwananke alokamilika shuti awe mbea kimtindo ila ule umbea uliopitiliza ni majanga
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…