Wanawake kwa hili tuambieni ukweli

Hahaha acha masihara ..... Unauliza sisi huwa tuna wa-offer nini tena ...wakati asilimia kubwa ya wanawake wengi ni tegemezi na sisi ndio life support wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tegemezi kivipi wakati pesa hamna? Na kama mnazo hamtoi? Mi hata sijaona la maana mlilo nalo.
Na kukutegemea wewe mume ni haki yangu, na Mimi mke ninayo majukumu ya kufanya pamoja na kulea watoto. Au mlitaka tuwafanyie nini cha zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa hatuna tena "!!! So hizi ambazo zinatumika kuwalisha ..kuwalipia bills mbali mbali zinaitwaje ..au unataka anaye kulipia mpaka awe na pesa kama Jeff bezos ndio utazithamini bills anazokulipia. ..... Katika hui ulimwengu especially Africa kuna wanawake wachache sana ambazo ni independent wengi ni dependant ...so unaanzaje kusema kuwa wanaume hawana cha kuwa offer zaidi ya ngono .......

Suala la malezi ya watoto ni majukumu ya wazazi wote wawili '' Sio la mama peke Yake '' Hauwezi kusema kuwa una mlea mtoto peke yako wakati hats Mimi ninaporudi kazini huwa na chill na mtoto na kucheza nae ..nafuatilia kuhusu mahitaji Yake mbali mbali na kulipia bills zinamuhusu yeye na wewe .....Au kwako wewe tafasiri ya malezi ni kumnyonyesha na kumsafisha kinyesi chake tu ....Mkuu tafasiri ya malezi ina maana pana sana ..Tunachotaka sisi mkubaliane na ukweli kwamba hamna cha kutu offer zaidi ya papuchi nasio kujifanya mnakataa wakati huo ndio uhalisia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli. Sasa mmechoka kufanya yote hayo mnataka tuwafanyie?

Sent using Jamii Forums mobile app

Walau bhas uwe unaenda ghetto kwa boyfriend wako, umpikie, umfulie na umfanyie usafi ghetto lake hata Mara mbili tu kwa mwezi, sasa wadada wengi pesa mnaomba kila mara wakati papuchi zenyewe mnatugea kwa tabu na masharti kibao, sasa kama mwanaaume lazma ujiulize ni kipi unafaidika kwenye uhusiano Demi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…