NEGLIGIBLE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 354
- 92
ninachojaribu kusema ni kuwa mwanamke ndio anayebeba mimba,na baadaye akikimbiwa ni yeye ndio ndio anabaki na mzigo wa kulea watoto..........kama hivi ni sawa basi wanawake wanapaswa kuwa makini anapoanzisha mahusiano.unakubali vipi kulala na mwanamme usiyemjua,huku ukijua kuwa kuna uwezekano wa kupata mimba?kwanini usitumie kinga?stds mnazifikiria?jinsi ulivyoeleza hapo ni kama vile tunajitia mimba wenyewe.
Mama afanye nini? Hana kazi, hana income.
Tena baada hata we kusema wababa tafadhilini tunzeni watoto wenu
huna hata haya kusema wanawake muwe responsible.. Are you nuts?
Huyo mama anaelewa ni responsibility yake kuwalisha hao watoto
kuwavalisha na ku make sure wanapata pa kulala usiku.
Ndio maana amejishusha kabisa na kuwaanza kuomba .
Sababu hakuna mbele wala nyuma.
We unadhani kuna mwanamke anapenda kuwa omba omba?
actual nawazungumzia kinamama wanaopita mabarabarani wakiomba kwa kisingizio cha kukimbiwa na wazazi wenzao,kwamba kabla ya kuzaa wanapaswa kujiuliza mara mbili mbili......wazazi wenzao wako tayari kupokeo matokeo ya mahusiano?na sio kurubuniwa kirahisi tu.kaka usidhani kila ombaomba ana shida km unavyofikiria.
Kuna ombaomba maarufu mwanza namfahamu vzr hadi kwake, kwake ni shy yaan ukifika huwezi dhania km ndo yule ombaomba ni ana maisha mazuri nahisi ht pengine anawazidi ht wanaomsaidia,ana miliki g'ombe wengi na mifugo wengine wa kutosha tu.
Hivyo wengine wanafanya ombaomba km sehemu ya ajira.
family planning should be of great importance to the poor,yet they did not use it,either because of lack of education or being irresponsible.watu wanajitia hamnazo yakiwafika wanaanza kulia!
ninachojaribu kusema ni kuwa mwanamke ndio anayebeba mimba,na baadaye akikimbiwa ni yeye ndio ndio anabaki na mzigo wa kulea watoto..........kama hivi ni sawa basi wanawake wanapaswa kuwa makini anapoanzisha mahusiano.unakubali vipi kulala na mwanamme usiyemjua,huku ukijua kuwa kuna uwezekano wa kupata mimba?kwanini usitumie kinga?stds mnazifikiria?
irresponsibility iko kwa wote,mwanamme na mwanamke,but muhanga huwa mwanamke,that what i am trying to say...........kama ujuavyo mama ndio mlezi wa watoto.baba akipachika mimba anasepa.mateso yote ya kulea mtoto anabaki nayo mama.....of course ni vigumu sana mama kumtupa mtoto,sasa najaribu kusema kuwa kwa sababu nyie ndio mnapata tabu ya malezi jaribuni kuwa makini kubeba mimba,vinginevyo mtaendelea kulalamika kutelekezwa na kina baba.nanyie wanaume (si wote) mnakubali vipi kufanya mapenzi na mwanamke usie mjua
je hamuogopi magonjwa??
Nadhani umesha wahi sikia huu usemi " it takes two to tango"
nisomavyo hilo jibu lako na ona makosa ya wawili kwa nini ?
Unazidi kuwapindukia kina mama.??
Kuzuia mimba na magonjwa ni majukumu yenu wote
na si mwanamke tu. Weka hiyo kichwani kwako.
Jana katika pitapita zangu nilikutana na mwanamke aliyebeba mtoto mgongoni akiomba msaada kwa wasamaria wema ili mtoto wake akatibiwe malaria.yule mama alikuwa akilalamika kuwa mtoto wake pamoja na yeye hawakula toka jana,baba wa mtoto kamkimbia.nilipojaribu kumdadisi zaidi nikagundua kuwa yule mama hajui hata nyumbani kwa mzazi mwenzie..........mara nyingi pia nimeshuhudia ombaomba wakiomba msaada barabarani,lakini cha kushangaza ni kuwa unaweza kukuta mama anayeomba msaada barabarani ana watoto watatu wadogo.sasa unajiuliza hivi kweli mtu huyo yuko `responsible`?kwani ,kwa mfano unapofikiria kuzaa usifikirie pia jinsi ya kulea watoto wako?nani anapaswa kukulelea watoto wako?unaweza kukuta huyo msamaria mwema unayemuomba msaada yeye ana mtoto mmoja sio kwa kupenda ila ugumu wa maisha.kwa nini mnajirahisi hivi?
sidhani kama nimewapaka wanawake,ninawaonea huruma kwa sababu wanabeba mzigo unaotokana na uzembe wa mwanamme na mwanamke.kwa hiyo wewe kaka huwezi kumtambua mtu mwema?if so basi una tatizo.kwani walitaka yawe hivyo.
Hebu jaribu kufikiria kwa akili ya ndani sio kukurupuka nakuanza kuwapaka wanawake.
Wakati akifikiria kuzaa alikuwa na mwanaume a,baye walipanga mikakati yao,
ila imetokea hivyo mwanaume katoweka we unadhani atafanyaje ili aweze kuwalinda wanae na janga la njaa?
Eti mwanamke awe makini pindi ampatapo mwanaume, atawezaje kutambua huyu ni mwema na huyu ni mbaya,
kwani yeye ni malaika?
Kuhusu msamaria mwema anayeombwa kuwa na mtoto wake sio sababu kwani na yeye ni binaadamu,
ataangalia mwenyewe kama anauwezo wa kumsaidia au laaah,
atatasmini kuhusu hao watoto amabo wanateseka na mama yao kutafuta masaada na mwishoe kuchukua maamua yanayopaswa.
karne hii mimba kutokea bila mpangilio?ndio uzembe ninaouzungumzia sister..........wale watu wanaopanga kuzaa baada ya miaka kumi wanawezaje?mimba nyingi huwa zinatokea tu bila mpangilio,,, pengine walikua wanajiburudisha tu na kuashum kwamba mtoto hatotengenezeka!!!!
irresponsibility iko kwa wote,mwanamme na mwanamke,but muhanga huwa mwanamke,that what i am trying to say...........kama ujuavyo mama ndio mlezi wa watoto.baba akipachika mimba anasepa.mateso yote ya kulea mtoto anabaki nayo mama.....of course ni vigumu sana mama kumtupa mtoto,sasa najaribu kusema kuwa kwa sababu nyie ndio mnapata tabu ya malezi jaribuni kuwa makini kubeba mimba,vinginevyo mtaendelea kulalamika kutelekezwa na kina baba.