Wanawake kuweni na huruma

Hii tabia ya kuhonga nilishaisahau huku kwetu ukiwa na buku tano unawala watano
 
tafuta hela wewe...kuombwa hakuepukiki!
 
Watanadilika tu maana Universe nayo inabadilika...wanawake tulijisahau sana tukafikira sisi ni viumbe vinyonge, la hasha! Amka mwanamke pambana kula jasho lako! Hukuzaliwa kuwa omba omba!

afathali ww unajitambua [HASHTAG]#wanawakeachenikuombaombapigenikazi[/HASHTAG]
 
Tangu shule zimefungwa jukwaa letu limevamiwa na IS... Ni upupu upupu... Kujitokeza kama uyoga kupotea baada ya shule kufunguliwa ..... By Middle July tunataanza kuona heshima huku.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…