Wanawake kuweni na huruma

Eti hit and run. Now days wanaume wa ukweli wana hit,hit,hit and hiiiit atarun yeye. Kama huna ela piga kimya. Wenye nazo watatoa buana.
Kwanza sh ngapi?

Kwa hiyo ni Kuhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit tu hadi ihitikeeeeeeee au sio...!! Ama kweli wasio na pesa wakomae na Tumbili...!!
 
Hiyo ni life style ya maisha yako
 
Eti hit and run. Now days wanaume wa ukweli wana hit,hit,hit and hiiiit atarun yeye. Kama huna ela piga kimya. Wenye nazo watatoa buana.
Kwanza sh ngapi?
Sindiyo hapo namshangaa tena hawa ndiyo waongaji wakubwaaa wanakuja huku nyoko nyoko nyoko hawana loloteee fyuuuu

Mwanamme asiye honga hayupo , asiye toa huduma kwa mpenzie hayupo, asiye msaidia mpenziwe hayupo hiki kizazi cha sasa km ukibisha we jeuri
 
Eti hit and run. Now days wanaume wa ukweli wana hit,hit,hit and hiiiit atarun yeye. Kama huna ela piga kimya. Wenye nazo watatoa buana.
Kwanza sh ngapi?
nna buku bee
 
Wewe unakutana na miwanawake isiyo na akili na mienda wazimu alafu unaita wanawake! Mwanamke yeyote lazima awe TOGETHER! PESA IPO NA IMEJAA TELE! Mna share matumizi! Mwanamke siyo omba omba hata siku moja!
 
mbona tupo wengi tu
 
mkuu funguka tukuelewe
 
Ndiooo. Au hujui??? Ndio nakupa hiyo

Okey., nimeipata..!! Maserati..!! Naomba nikuulize swali ivi ww ni Mbongo mwenzetu kweli ..?? Au ni koko..?? ( Sina nia mbaya lkn) Kadiri hisia zangu zinavyonituma huwa nahis wew si mbongo but mzamiaji...!! Samahan lkn chondechonde ndo mana cjakuuliza privately...!!!

Ni kutokana na aina ya uandishi wako na si avatar..!
 
Nikalale zangu hamna cha maana hapa wamehonga akina nyerere mtakuwa nyie wanaume suruali tena visoseji ( chips mayai ) [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mwanamke hawezi omba pesa kwa mwanamume!
 
Nikalale zangu hamna cha maana hapa wamehonga akina nyerere mtakuwa nyie wanaume suruali tena visoseji ( chips mayai ) [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

haya usiku mwema [HASHTAG]#kuchunamwiko[/HASHTAG]
 
labda ww ila wenzako sio poa wanaomba kama wanadai den
Wendawazimu hao! Achana nao kabisa maana ni mizigo paseee! Itakusumbua tu! Mtu asiye jithamini ni hatari sana kwenye relationship maana input ni 0! RUN!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…