KING HAM
Member
- Nov 25, 2019
- 23
- 11
Habari wana jf mmu, mada kuna jamaa yangu anaishi na mjomba wake kwa muda sasa. Mjomba wake ni mtu wa wanawake sana yaani mwamba ni womanizer haswa sasa katika pita za mjomba kuna demu alitokea kumpenda sana sana.
Huyo demu alikiua amuelewi mjomba kamtesa sana mjomba sasa umepita muda kama mwaka yule demu amemcheki mjomba anamtoto asaivi kazalishwa amekuja geto kwa mjomba wake najamaa namtoto asa mjomba anataka amgonge yule kama kulipiza kisasi cha kuteswa nayule dem muda mrefu na ikumbukwe wanachumba kimoja na asaiv ni usiku jamaa kanipigia simu kunisimulia yeye haoni hatari kulala pamoja na shangazi yake 😂tatizo demu anajua sasa ataolewa na mjomba kumbe mjomba analipa kisasi TU ALAFU AMTIMUE