Wanawake kuuza magazeti

Wanawake kuuza magazeti

chingas

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
261
Reaction score
113
Mara nyingi tumezoea kuona kuna baadhi ya kazi huwa zinafanywa na wanaume pekee, kama vile umachinga, kupiga debe, kubeba zege, kuwa kondakta au hata ufundi magari, lakini siku hizi si kitu cha ajabu tena kukuta wanawake wakifanya kazi hizi kama vile mimi nilivyokutana na dada huyu akitembeza magazeti nami nikaona nimpe sapoti yangu kwa kumng'arisha apa jukwaani ili iwe changamoto kwa wengine ili wasibweteke tu nyumbani angali marejesho yanawasubiri bank.
Big up sana kwa mama huyu mtembeza magezeti hapa A town
 
ni huyu apa
 

Attachments

  • 1423097399441.jpg
    1423097399441.jpg
    114.8 KB · Views: 167
Remove kijana kwani hujamshirikisha kwa ridhaa yake
 
Mbona wapo wengi tu, siku hizi kuna za wanaume???? simama ubungo mataa ujionee wadada wanavyojituma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom