Wanawake kushindwa kujiexpress vilivyo!!!!!!!!!

Wanawake kushindwa kujiexpress vilivyo!!!!!!!!!

Sijaona chembe hata moja ya utafiti wa hilo hitimisho lako. Huwezi kufikia hitimisho lolote la kisayansi wala kisomi bila kutoa utafiti na matokeo ya jinsi ulivyoufikia. Hapo ndipo sijakuelewa kiasi cha kutokubaliana nawe totally mwanangu and my friend Saudari.
Kwanini usikubaliane na mimi, wapi ambako unaona ninnadanganya???
 
Hapa umeeleza jambo moja muhimu sana ambalo ni MAWASILIANO.umetisha mzaz safi sana
 
Sio rahisi kihivyo, inategemea na mwanamme wa aina gani.
 
Kuna kitu walengwa wanaweza kujifunza wakijitoa akili kama ulivoeleza.uoga huleta umaskini hata katika haya maneno eti?
 
Back
Top Bottom