Wanawake kushindwa kujiexpress vilivyo!!!!!!!!!

Wanawake kushindwa kujiexpress vilivyo!!!!!!!!!

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
Habari zenu wana MMU!!!!!!!

Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu wanawake,
Wanawake wengi hushindwa kuwaeleza wapenzi wao nini hasa huhitaji pindi wanapokuwa kwenye sita kwa sita na hii inaweza ikawa ni kwa sababu ya kushindwa kujiamini kama siyo uelewa mdogo wa vionjo vya majambozi, sababu nyingine ni kuwa wanawake wengi huamini kuwa wanaume huzisoma hisia za wapenzi wao pindi wanapowaandaa na mpambano jambo ambalo si kweli kwani wengi wao ni wabinafsi yaani gari ikikubali starta tu huanza safari hata bila kupima oil wala kuangalia kama maji yanatosha kwa kuianzisha safari.

Dada zangu, wadogo zangu sina budi kuwaasa haya yafuatayo ili ukiwa faragha upagawe na mwenza wako siyo kila siku wewe uwe msindikizaji tu.

Jitowe hofu; endapo utaingia kwenye uwanja wa raha ukiwa na hofu ya aina yoyote amini hutaweza kuweka mawazo yako katika kile mnachokifanya, badala yake utakuwa ukiwaza jambo linalokutatiza. Mfano kama unawasiwasi na harufu inayotoka kwenye mambo yetu yale huna
budi kuhakikisha unaingia bafuni na kujiweka safi kabla ya kuingia faragha na wapo wale wenzangu ambao wakiguswa vema kwenye maeneo yenye kumpandisha midadi tu basi haja huwatoka,sasa kama nawe ni miongoni chukua taadhali mapema kwa kwenda kujisaidia.

Yatambuwe maeneo ambayo ukiguswa mzuka unakupanda; hakika huwezi kufurahia majambozi kama wewe mwenye hujui maeneo gani hasa mzee akiyatumia vizuri katika maandalizai ya mpambano atakupagawisha. Kama hujui maeneo yapi hasa hukupayo hamasa ya kutaka kufanya mapenzi basi jifanyie utafiti leo na ukibaini yafanyiye mazoezi ya vitendo na mwenza wako.

Kamwe usimtegemee mwanaume pekee kuamsha hisia zako uwapo faragha; wanaume si wasomaji wazuri wa hisia hivyo ni rahisi kwao kutobaini nini hasa kinacho amsha hisia zako ya kutaka kula sukariguru hivyo kama unajua usisite kumuongoza kwenye maeneo hayo ili aweze kukupagawisha vinginevyo kila siku utabaki kusikia 'oh mapenzi raha bwana' usilaze damu jitoe akili mueleze bayana nini unataka akufanyiye uipate raha ambayo wengi wanadai kuipata toka kwa wenza wao.

Nawasilisha.
 
Haha haaaaa saudari kwa hyo weye wataka tujilipue sivyoo!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa coz ukiwa muwazi itakufanya ufurahie game,ufike kileleni kiurahisi na si kwa mawazomawazo oooh nikisema anifanyie hivi ataniona muhuni or malaya ....no...pia mume /boyfriend muandae mpenzio/mkeo ktk mazingira ya upendo wa hali ya juu na uhuru...na utamu wa game hauanzii kitandani tu....unaanzia mbali mf.siku nzima unaandaa mazingira mazuri mtreat vzr umpendae ili mtakapofika kunako sita kwa sita asifikirie maudhi yaliyotokea saa chache zilizopita
 
Mie nilifundishwa mapema sana kulee chuo cha wakubwa lakini mwanzoni nikawa naona haya baada ya miezi Kama miwili duh najikuta naeleza Kama na ilianzia hapo,mwisho wa shughuli kila mmoja katoshekaa..Unyago unasaidia kiasi chake..
 
Moja kati ya kazi ngumu katika dunia hii...ni hii kitu! wengi hawawezi na hawako tayari kabisa kwa hili...halafu malalamiko kibao kwa wanaume, oooh mara eti kibamia, oooh eti one minute man...eti ana likitambi! Nakupa hongara kubwa mtoa mada!
 
Kuna tatizo lingine la msingi hujalitaja!
Kwa kawaida, mwanamke ni kiumbe aliumbwa na uso wa soni hususani linapokuja suala la ndani.....!! Wakati mwingine ni soni ya kuigiza ili umuone hajazoea mambo hayo lakini wakati mwingine ni soni ya dhati! Ikiwa mtu anajisikia aibu hata kuangaliwa wakati anapita barabarani, itakuja kuwa kuangaliwa wakati yupo uchi?! Na bado akuambie, "aisee, nikune hapa banaa ndipo pananipa mashamsham!! THINK!

So, ni wewe ndie unatakiwa kumuondoa hofu hiyo ya asili ama ya kuigiza! Katika maongezi na matendo yenu ukimuonesha kwamba suala la mwanamke kueleza hisia zake ni jambo la kawaida basi atakuambia kinachomkuna! Lakini katika maongezi ya kawaida unaanza "Yaani kuna wanawake wengine hata aibu hawana...hawaoni tabu kumtongoza mwanamme....hawaoni taabu kufanya hiki na kile!" Unazani mwanamke kama huyo atakuwa FREE kwako kukuambia anakunwa wapi halafu upate new phrase "wala hawaoni aibu kusema nikune hapa!?"

Wengine wakiwa na mademu zao wanakuwa serious utafikiri wapo na mabinti zao au wadogo zao! Na kama mmepishana umri, ndo balaa kabisa!
 
Kuna tatizo lingine la msingi hujalitaja!
Kwa kawaida, mwanamke ni kiumbe aliumbwa na uso wa soni hususani linapokuja suala la ndani.....!! Wakati mwingine ni soni ya kuigiza ili umuone hajazoea mambo hayo lakini wakati mwingine ni soni ya dhati! Ikiwa mtu anajisikia aibu hata kuangaliwa wakati anapita barabarani, itakuja kuwa kuangaliwa wakati yupo uchi?! Na bado akuambie, "aisee, nikune hapa banaa ndipo pananipa mashamsham!! THINK!

Kwahiyo unamaanisha wanawake wasio waambia wapenzi wao kuwa wapi panawapandisha hisia zao ni wale tu wenye aibu????

So, ni wewe ndie unatakiwa kumuondoa hofu hiyo ya asili ama ya kuigiza! Katika maongezi na matendo yenu ukimuonesha kwamba suala la mwanamke kueleza hisia zake ni jambo la kawaida basi atakuambia kinachomkuna!

Mapenzi ya sasa ni tofauti kabisa na yale ya zamani,
Huu ni wakati wa ukweli na uwazi sio kufichana mambo eti kisa unamwonea mwenzako aibu.

Ukiona mwenzi wako hakufikishi pale unapohitaji huna budi kumweleza ukweli ili na yeye ajue ni wapi pakuongezea jitiada.
Tukibaki huku tukifichana tutaendelea kujinyima vitu vizuri na mwishi wake hatuta yafurahia mapenzi bali tutakua tukikereka wakati wa kuyafanya hayo mapezi.
 
Ni kweli kabisa coz ukiwa muwazi itakufanya ufurahie game,ufike kileleni kiurahisi na si kwa mawazomawazo oooh nikisema anifanyie hivi ataniona muhuni or malaya ....no...pia mume /boyfriend muandae mpenzio/mkeo ktk mazingira ya upendo wa hali ya juu na uhuru...na utamu wa game hauanzii kitandani tu....unaanzia mbali mf.siku nzima unaandaa mazingira mazuri mtreat vzr umpendae ili mtakapofika kunako sita kwa sita asifikirie maudhi yaliyotokea saa chache zilizopita

Nimekupendaje, je ruksa ku-kulove????
 
Back
Top Bottom