Wanawake kupendelea kwenda gym

Kuna cku bana tupo gym kaja mdada m1 na kispika chake ananukia vzuri, kuingia mule gym akakaa kwenye kibench anachezea cm zaid ya nusu saa then akashuka chin akachkua gar ake akasepa, skumwelewa kwakwel
😀😀😀😀 hicho ambacho hujaelewa ndiyo ulichoelewa Jombaaa
 
Countrywide pitia hapa wewe cha ubishi unayenikataza nisiende gym 😂😂😂
Sweet mangi kashapona sasa hivi yuko normal. Mungu ni upendo na mkubwa aliweka kitu kusahau. Huoni Masanja sasa hivi karejea hali ya kawaida. Usifanye mchezo na KUGONGEWA wewe
 
Mkuu Mbona Ni Jambo La Kawaida Mtasababisha Sasa Tuwafungie Ndani Tu Na Hapo Pia Mtasema.
 
Sweet mangi kashapona sasa hivi yuko normal. Mungu ni upendo na mkubwa aliweka kitu kusahau. Huoni Masanja sasa hivi karejea hali ya kawaida. Usifanye mchezo na KUGONGEWA wewe
Unaongea vitu gani?? Bangi sio nzuri kwa afya yako
 
ukipigiwa nacma gym master unaweza ukajikuta unaona wataleban wako sahihi na mifumo yao
 
Kuna sisi ambao tunaanza kuimarisha afya tukiwa nyumbani halafu tukishanoga sasa😂😂😂ndio tunaenda zetu gym ku maintain.
 
Ndo muwanunulie taiti bamba za kutosha...
 
Ukiamua hata nyumbani mazoezi unafanya sio lazima gym
 
Dah!umenikumbusha mbali nilikuwa naenda Ile gym coz ipo karibu na home mwaka 2014-2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…