Wanawake kupendelea kwenda gym

Didododi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
354
Reaction score
494
Kumekuwa na ongezeko la wanawake kwenda mazoezini(gym) bila hata ya waume zao(labda kutokana na u busy[emoji848][emoji119])Inasemekana huko mazoezini wanafaidi sana. kuimarisha afya[emoji12]Hongereni sana wanaume kwa kuona umuhimu wa mazoezi kwa wake zenu
 
Gym.
Wanawake gym ni way back ndugu yangu.
Hata maofisini wayback zipo session za gym.
Wanawake gym ni kawaidaaa sana. Nina miaka 20 naona wanawake wengi gym.
Mfano mdogo wakazi wa kimara pale baruti. Baha mamama sheli wayback gym ile ina jaza wanawake na mabinti. More than 20 yrs ya ile gym.
 


Mke wangu Gym bila mimi ni sawa na gari bila matairi, hamjuia wanawake, hata kama ni mwema uki mu expose unampoteza.
 
kuna gym zipo mjini kati za wanawake tu shida nyingine kama mkeo ni pimbi hata uko ataishia kuchezea madildo tu
 
Zamani Ukimwi haukuwepo, Ghono na Kaswende walidhani ni stori.

Wanawake walinyanduliwa kutokana na Genye na sio vinginevyo.

Hivyo usifananishe zama utakufa kinywa wazi.
 
Zamani Ukimwi haukuwepo, Ghono na Kaswende walidhani ni stori.

Wanawake walinyanduliwa kutokana na Genye na sio vinginevyo.

Hivyo usifananishe zama utakufa kinywa wazi.
Kumbe sasa watu mnalinda kwa sababu ya magonjwa! Ooh sawa.

Ila wakupigwa atapigwa tu ata ufanye nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…