Wanawake kulia wakati wa mapenzi

Wanawake kulia wakati wa mapenzi

Wadau huwa najiuliza wanawake kulia wakati wa mapenzi ni utamu umewazidia au anaumia au nikutuibia nawasilisha
inatakiwa umuulize huyo anayekulilia,usikute anakuonea huruma kwakuwa anakuachia virusi hapo
 
Wadau huwa najiuliza wanawake kulia wakati wa mapenzi ni utamu umewazidia au anaumia au nikutuibia nawasilisha

YOTE MATATU NI MAJIBU SASA KAZI KWAKO KUYAFANYIA KAZI🙂
 
Kwa hali hiyo bc wabeijing wawe wanawagongea ma_men inaelekea wanapata raha kuwazidi
 
Mkuu kumbe we ni mzungu?
hapana sio mzungu kabisa bali ni mixed race(africast) (chotara) mzungu na mwafrica japo nimebalance sio mweupe sana na pia sio mweusi nipo somewhere at the midst..
 
Sawa kabisa nimekupata
 
Habari waungwana!.
Aa
IMG-20170304-WA0000.jpg

Huwa kuna wakati mtu ukikaa unajiuliza vitu vingi,vya busara,vya kitoto,vya kijinga nk,lakini ili upate majibu lazima usikie pia wengine wanasemaje.

Huwa najua kama mtu akifurahi mara nyingi hucheka ;akichukia au kuumizwa hulia .

Lakini huwa wakti wa tendo la ndoa,watu wengi hasa wanawake hulia,na muda mwingine hata kama hatoi sauti basi ukimuona sura basi anakuwa anaikaza kama anaumia fulani hivi,na pengine ukimaliza ndo atacheka je huwa ni nini hasa kinachowafanya wasicheke kuonesha wanafurahia? Au kucheka kubaya zaidi kuliko kulia?.Hayana shule haya jmn msinicheke...natangaza interest mm ni "me" ukiwa unajibu uzingatie hilo....
 
Utamu uliopindukia huliza mademu...!/
Furaha iliyopilitiza huliza machozi../
~Ile kitu ni special MNO..
 
Furaha ikizidi huwa ni kilio ,na machungu yakizidi nayo hugeuka kicheko ...

kila kitu kina kikomo chake na inapopitiliza kikomo basi uhamia upande wa pili
 
Back
Top Bottom