Haya jiwe limerushwa gizani, tusikilize atakayesema Uwiii, jua limempata.Self esteem ni hali ya kisaikolojia inayomuonyesha mtu jinsi gani anavyojitambua na kujikubali. Mtu mwenye self esteem ya juu, anakuwa ni mtu jasiri, anayejikubali, anajitambua, anajiamini na hana shida na alivyoumbwa. Kuwa mfupi au mrefu, mweusi au mweupe, maskini au tajiri, mwanaume au mwanamke, si kitu kinaweza kumsumbua mtu yeyote ambaye self esteem yake iko vizuri. Unapoona una shida ya kujikubali au umbo lako, au jinsia yako au hali yako ya maisha ujue shida si hicho unachokiona bali shida iko ndani yako. Ndio maana unaona kuna matajiri wengi tu unaona hawajikubali wala kuridhika, wakati kuna mtu ana bajaj tu na anaenjoy maisha yake. Utaona kuna mtu ana nafasi yake kubwa tu kiajira, au kwenye siasa lakini hajawahi kuridhika. Mtu mwenye shida hii hata kumpa kutawala dunia ataona kuwa bado kuna kitu hakiko sawa. Ni kwa maelezo hayo naomba niwaambie wananwake wenzangu ukiona kila mara, unapenda kujilinganisha na kaka zako, au mume wako, na kuona kuna kitu kinapungua hata ungeumbwa mwanaume ungetamani uwe mwanamke.
My Take
Jifunze kujikubali ulivyo, na kujifurahia kutoka ndani ya nafsi yako, jifunze kuridhika na ulicho nacho kwa sasa(materials) ukiendelea kuongezea kidogo kidogo, na usijali sana mtazamo wa dunia juu yako, maana kuridhika kwa ukweli kunaanzia wewe mwenyewe unavyojiona.
Self esteem ni hali ya kisaikolojia inayomuonyesha mtu jinsi gani anavyojitambua na kujikubali. Mtu mwenye self esteem ya juu, anakuwa ni mtu jasiri, anayejikubali, anajitambua, anajiamini na hana shida na alivyoumbwa. Kuwa mfupi au mrefu, mweusi au mweupe, maskini au tajiri, mwanaume au mwanamke, si kitu kinaweza kumsumbua mtu yeyote ambaye self esteem yake iko vizuri. Unapoona una shida ya kujikubali au umbo lako, au jinsia yako au hali yako ya maisha ujue shida si hicho unachokiona bali shida iko ndani yako. Ndio maana unaona kuna matajiri wengi tu unaona hawajikubali wala kuridhika, wakati kuna mtu ana bajaj tu na anaenjoy maisha yake. Utaona kuna mtu ana nafasi yake kubwa tu kiajira, au kwenye siasa lakini hajawahi kuridhika. Mtu mwenye shida hii hata kumpa kutawala dunia ataona kuwa bado kuna kitu hakiko sawa. Ni kwa maelezo hayo naomba niwaambie wananwake wenzangu ukiona kila mara, unapenda kujilinganisha na kaka zako, au mume wako, na kuona kuna kitu kinapungua hata ungeumbwa mwanaume ungetamani uwe mwanamke.

... Ni kwa maelezo hayo naomba niwaambie wananwake wenzangu ukiona kila mara, unapenda kujilinganisha na kaka zako, au mume wako, na kuona kuna kitu kinapungua hata ungeumbwa mwanaume ungetamani uwe mwanamke...

Lara1 and the team sijasema mwanamke hawezi kufanya mambo makubwa! Nafahamu mwanamke anaweza kujenga nyumba kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa by herself, najua anaweza kuwa activist mkubwa saaaaaaaaaaaaaaaaana kama yule mama mkenya aliyesema wasimzike maana watataribu miti kwa kutengeneza jeneza, najua mwanamke anaweza kuwa mwanasiasa mkubwaaaaaaaaaaaaaaaaaa hata kuwa raisi wa nchi yeyeote ile duniani, najua mwanamke ana uwezo wa kuown business kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kama ya Bill gate, na mambo mengine makubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa atakayo, LAKINI HAWEZI KUWA MWANAUME NA HAPASWI KUJILINGANISHA NA MWANAMUME!By the way why compare yourself? fanya kwasababu unataka kufanya, siyo kumuonyesha mwanaume kuwa unaweza kuwa kama yeye, so what?Kumbukeni MEN will remain MEN and WOMEN will remain WOMEN no matter what! On top, MEN WILL be husbands and WOMEN will remain WIVES! MEN will remain FATHERS and WOMEN will remain MOTHERS! Kaa kwenye nafasi yako and be proud of it!
To Smile and the team, hata kama umeumizwa sana kwenye mahusiano ni vizuri tu nikawakumbusha kuwa kama mambo yote yanaenda sawa, mume ni muhimu sana kwa maisha yenu. Unaweza kusoma na kupatamajina lukuki, dr, prof, and so on, but hivyo vyote haviwezi ziba nafasi ya mume katika maisha yako. Waweza kuwa na pesa nyingi sana hata ndio zikaweza kuwa godoro, but haziwezi kukupa joto awezalo kupa mume, akiwa amekukumbatia! So kumbuka, hata kama mwajifanya hamtaki, hata kama mmeumizwa; bado mume mnamhitaji!
My take
Sitashangaa msiponielewa, bora kutokunielewa kuliko kuelewa isivyo sahihi! Sitashangaa mkinicritisize sana, maana hiyo siyo ishara kuwa hamtayatendea kazi niyasemayo. Najua nitawawini mmoja baada ya mwingine, mpaka kila mwanamke akae kwenye nafasi Mungu aliyomuweka kwenye jamii. Any hata akibadilika mmoja ni ushindi mkubwa sana kwa jamii yetu!

Umenena professional zaidi, mie nimekupata vizuri sana.