akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,157
Ni majina tu, kwani unapoenda kwa bibi yako kule kijijini kwenu bibi akianza kusema mume wangu huyo amekuja kunisalimia huwa anamaanisha wewe ni mumewe kweli???,
Ni majina tu, kwani unapoenda kwa bibi yako kule kijijini kwenu bibi akianza kusema mume wangu huyo amekuja kunisalimia huwa anamaanisha wewe ni mumewe kweli???,
Uzungu wa mabinti wa kisasa
Upumbavu wa mabinti wa kisasa, uk***
Mkuu hiyo ya bibi ni tofauti,hawa viumbe wa design hii wananiudhi sana nlishamwambia wa kwangu afute hayo majina ya hivyo kwny simu yake na asave majina halisi,honey nibaki tu mimi bahati nzuri alielewa...