Yes for real Tyta...!
Nikishakuoa nakuita mke au mume?
Acha tuwaoe tu.....
Nikishakuoa nakuita mke au mume?
why all men want this V too! why men are ready to buy this too! CAN'T TURN NATURE TOO!
Nikishakuoa nakuita mke au mume?
Hapo ndio itakuwa haki sawa na pia wanawake wataacha kuringaringa, maana unamtongoza mtu anaringa kama unaomba mkopo benki!
usikariri mwenzangu dunia imebadilika! Cyo mke lazma awe na jinsia ya kike kumbuka kuna wale Ant-musevenMke ni mwenye jinsia ya kike na mme ni mwenye jinsia ya kiume,,,, Haya maneno hayategemei kipato, nani aliyeoa/olewa, wala nani mwenye nguvu kwenye familia.
Mwanamke hata akiwa ana hela, nguvu, elimu au chochote kikubwa kumzidi mwanaume, hawawezi change majina.
usikariri mwenzangu dunia imebadilika! Cyo mke lazma awe na jinsia ya kike kumbuka kuna wale Ant-museven