Lile pendekezo la Mmeru mmoja aliependekeza wakati wa ukusanyaji wa maoni ya katiba kuwa wanawake wapewe haki ya kuchumbia na kuoa wanaume kwann imetupiliwa mbali wakati ni njia mojawapo ya ku-empower women ili kuepuka yaliyo pitishwa na wabunge kenya kuwa mwanaume anaweza kuoa mke wa pili pasipo kumshirikisha mke mkubwa?
Pili, mwaka jana wanawake takribani 8,000 nchini nigeria waliandamana wakiitaka wizara ya jinsia kuwatafutia wanaume wa kuwaoa
Kwa sasa kati ya watoto watano wanaozaliwa, mmoja au wawili ndo wa kiume, ifikapo Tz kuwa na watu milion 60, c robo tatu watakuwa wanawake? Wanawake achaneni na mambo ya muungano wa serikal 2 au 3 daini haki ya kuoa.