Na hasira ni hasara.Kauli Kama hiyo inaweza kuja endapo umemshauri taratibu hakuelewi so unajikuta umetamka hivyo kwa hasira
We haujui ndoa!sasa kama hajengi si unamwambia tu?
kwanini umfiche?
We haujui ndoa!
mzee wa m,abebsKwenye ukweli ataambiwa tu! sasa kama kweli wanaume wenzake wanajenga yeye yupo busy kula kitimoto na kulike instagram nisimwambie???
Akili zako nishazizoea Jukwaa la Elimu! Rudi huko huko!Ndoa ni nini?
ndoa ya kudanganyana siwezi wenzie wanaongeza ghorofa yeye anawekeza kiunoni kila siku kunigegeda nitamwambia tu.hizo nguvu achimbe hata msingi kama hela ya vibarua hanaWe haujui ndoa!
Hahaha......watu wenye stress zao watakuja haraka mbio mbio! Napita tu!Nimeonyeshwa hali ya hewa haitakuwa sawa kwenye Uzi huu mda mchache ujao... Tafadhali kama hauna shughuli ya maana kwenye Uzi huu comment na kutoka haraka
Ndo maana nikasema hujui ndoa ndo maana unaongea utumbo.......jana juzi kuna uzi za kuhusu wake za akina bill gates, bill clinton, nk vipi ulisoma na kuelewa ama ulikuwa insta?! Kazisome!ndoa ya kudanganyana siwezi wenzie wanaongeza ghorofa yeye anawekeza kiunoni kila siku kunigegeda nitamwambia tu.hizo nguvu achimbe hata msingi kama hela ya vibarua hana
kwenda huko usitafute kiki kwa kupitia mimiNdo maana nikasema hujui ndoa ndo maana unaongea utumbo.......jana juzi kuna uzi za kuhusu wake za akina bill gates, bill clinton, nk vipi ulisoma na kuelewa ama ulikuwa insta?! Kazisome!
Utaijuaje na hujaolewa? !Ndoa ni nini?
Hahahaha.....mie nitafute kiki kupitia wewe? Kwani jukwaa la love connect umeshamalizana nalo? Sipo serious natania tu!kwenda huko usitafute kiki kwa kupitia mimi
bado anatafutaWe haujui ndoa!
Dada ushaolewa... ??Habari wanaJF
Hii itawasaidia sana wanawake ambao wapo tayari kwenye ndoa na mahusiano ya kawaida ambapo kuna mahala wanawake wanajisahau na kuwatamkia wanaume wao maneno yasiyo na hekima, kwa mfano utamsikia mwanamke anamwambia mwanaume wake kuwa ‘’Wanaume wenzako wanajenga, wewe kila siku ahadi tu" [emoji16][emoji16]. Kauli kama hii ni kosa na kasoro kubwa.
Ukiachilia mbali kwamba hiyo ni lawama, lakini kauli kama hiyo inajenga hisia kwa mwenzako kuwa mwanamke huyu kumbe anapenda kuwa na wanaume kama hao hivyo wanaume wengi hawapendi kushauriwa bila hekima na kudhani kuwa wanawake hao wanaodhani wanaume wao siyo wa maana hivyo mwanamke ukitumia maneno yasiyo na hekima huwezi kuwa sumaku kwa mwanamume wako bali mwibaa mchungu[emoji17]
Pengine ni busara kutumia nafsi ya kwanza wingi,badala ya nafsi ya tatu umoja.Play Your Part as well.ndoa ya kudanganyana siwezi wenzie wanaongeza ghorofa yeye anawekeza kiunoni kila siku kunigegeda nitamwambia tu.hizo nguvu achimbe hata msingi kama hela ya vibarua hana