Wanawake kama polisi?!

Aaah amna kitu, stori tu za kuaminika. Hilo swala ni hulka ya mtu tu kutuliza kichwa na kufuatilia uhalisia wa jambo kwa karibu ingawa analifahamu tayari, hata wanaume wapo wanaoweza kufanya hiyo na pia kuna wanawake hawawezi kitu akisikia kidogo tu kapaniki mwishowe anakosa ata kaushahidi, ni swala tu la kutuliza kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…