Wanawake kaa ukijua...

WANAWAKE kaa ukijua kwamba hakuna mwanaume mwenye hivi vyote...
1.Good dick game
2.Empathy
3.a height above 5'9
4.no hoes
5.common sense
6.Money
Ushauri kwa hawa dada zetu chagua namba moja tu hapo utuliee.



Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu umesahau kuusindikizia huu uzi na kibao chake DAUD KABAKA kiitwacho MWANAMKE WA ELIMU.
 
Laiti ningejua??? Mbona najua! Hebu tuondoke hapa kwanza mjadala tusiufanyie hapa hebu
poa tuondoke...yaan nahis unanichukulia km nna mahasira..unahis nataka kula bataaaa😂😂😂uhuru km wote aka mandela..hapana aisee...nna future nzuri tu...
 
Nna shida na no.6 tu! Hizo zingine akaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

haaha unapenda mapesa...mimi jaman sisemi napenda pesa...hapana sina asili hyo...ila nikikugundua ww mbinafsi/mchoyo...hqhqha nakuwekea chuki...ogopa mwanaume mbinafsi shoga...ni sumu sana sana...kuna men ht kukununulia pipi kifua kazi..achilia mbali choclate tu jaman🙄
 
Logic
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…