Wanawake kaa ukijua...

Yaani mwanaume amtii mwanamke ? Thubutu yake labda mwanao mwanamke ndo unapaswa uwe mtii wewe omba upendwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uume mkubwa unaraha yake bhanaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😳😳😳😀😀😀😀😀😎😎😎😎😎😎
 
Ndio hivyo.

Kuna kesi moja nimesahau jina lake. Mume alikua mfanyakazi mke alikua mama wa nyumbani. Wakachokana wakataka kuvunja ndoa. Mume akataka mwanamke aondoke bila mali sababu yeye ndio alikua na hela. Mke akaenda mahakamani. Hakimu akaamuru mali zigawanywe nusu kwa nusu sababu hata kama mume ndio alikua anafanya kazi na kuleta pesa home bado mke alikua anafanya kazi zote za nyumban na kuhudumia familia yake.
Mume macho yakamtoka.
 
Nakubaliana na ww....

Lkn Kwann ww usiwe na kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…