Wanawake jirekebisheni mkitolewa out

Wanawake jirekebisheni mkitolewa out

Kwa hiyo unawaambia wakitoka wavae nguo kama za michepuko sio?
Yangu ni machache tu.

Wanawake wa Kitanzania walioolewa wanakera sana. Ukimwambia kajiandae tutoke tukakae mahali tukale mbuzi choma, ataingia ndani akitoka utamwona na bonge ya kitenge cha wax na kilemba juu.

Basi mkifika sehemu husika maongezi yake ni ligi tu. Mbona hivi. Mbona yule mwanamke anakuangalia sana. Mbona??

Lakini ukitoka na mchepuko kwanza atakuwa kavaa kiguo special for you magoti yanaoneka halafu maongezi ni ya kukupa matumaini kwamba jioni uongo.

Mlioolewa mnakwama wapi?
 
Mavitenge na malemba yanafanya mwanamke aonekane mzee. Ni sawa na mwanaume uvae yale masuti ya makoti makubwa na masuruali mapana kama aliyokua anavaa ze stone kule mwanzoni.
Mh. aiseeeeeee.
 
Bora wa kwako anavaa vitenge na kirembe kuna wa broo wangu ye anakupigia kitenge, remba na pochi ina ka bible kale kadogo ka rangi ya bluu kameandikwa misale sijui ya nini vile
Huyo ni mama mchungaji aka "mother shepherd"
 
mvalishe tu vimini. Wale jamaa wa kula kimasihara nao wamvalie mipira usome story ya kupatwa kwa mkeo.
 
Mimi naungana na jamaa coz vazi liendane na sehemu husika ,Kama ni kazini vazi la kazini linajulikana ,kanisani au msikitini pia linajulikana .
Sasa na huko out avae mavazi amabayo yanaendana na huku na hii haimaanishi kuwa atakuwa anajishushia heshima ,coz kwanza yupo na mme wake ,mavitenge out ya nn mtu atilie suruali yake Kali, viatu Safi ,na dressing codes zingine zinazoendana na mazingira hayo ,
Yaaani kiufupi nakubaliana na mtoa mada asilimia Mia moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amezoea kula mizoga anashindwa kutengeneza mke wake
Naomba huyo mke anaevaa kitenge na kilemba.. Nimempenda sana.. Alafu na huo wivu yani mapenzi ndio yananoga

Sasa wewe mke wakwako alafu unataka umuone tena magoti mkitoka Wewe ndio walewale mnaochungulia wake zenu wakioga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naungana na jamaa coz vazi liendane na sehemu husika ,Kama ni kazini vazi la kazini linajulikana ,kanisani au msikitini pia linajulikana .
Sasa na huko out avae mavazi amabayo yanaendana na huku na hii haimaanishi kuwa atakuwa anajishushia heshima ,coz kwanza yupo na mme wake ,mavitenge out ya nn mtu atilie suruali yake Kali, viatu Safi ,na dressing codes zingine zinazoendana na mazingira hayo ,
Yaaani kiufupi nakubaliana na mtoa mada asilimia Mia moja

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu uko sahihi. Nilichogundua hapa watu wengi hawajui kutofautisha kati ya kuvaa kijanja na kuvaa kikahaba. Mdada anaweza kuvaa kijanja na akapendeza bila kuonekana kahaba.
 
Naanza kuamini ile kauli ya Wanaume tunazidi kupungua kila siku.

Japokuwa mke hajui lolote ila jamaa anatakiwa akamuombe msamaha. Maana mke kajielewa kuliko mume!

Hao wanawake ndiyo tunawatafuta ili tuweke ndani, yeye anakandia.

Kama ameweza kumfungulia uzi kwa kufanya jambo zuri, je angefanya jambo baya!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisemalo ni kweli kabisa mkuu,idadi ya wanaume inazidi kupungua
 
Back
Top Bottom