Wanawake jirekebisheni mkitolewa out

Wanawake jirekebisheni mkitolewa out

Subiri tuanze uvaa vichupi sasa
Chupi tunajua kila mtu anayo na wengi wanazivaa. At least mke atoke hata ukimuambia atangulie hatua mbili ili uangalie bambataa. Sasa ndani ya kitenge tena chenye waya utaona nini?
 
Mavitenge na malemba yanafanya mwanamke aonekane mzee. Ni sawa na mwanaume uvae yale masuti ya makoti makubwa na masuruali mapana kama aliyokua anavaa ze stone kule mwanzoni.
 
N
Chupi tunajua kila mtu anayo na wengi wanazivaa. At least mke atoke hata ukimuambia atangulie hatua mbili ili uangalie bambataa. Sasa ndani ya kitenge tena chenye waya utaona nini?
Napata mashaka sana, kumbe unajua chupi kila mtu anayo, basi kama unataka abadilike anza kumbadilisha wewe mumewe, nunua nguo unazoa zitamtosha kulingana na mwili wake.

Inaoneka mkeo umtunzi na hicho kitenge toka ajifungue
 
Muache ajistiri apendavyo ndugu yangu, huyo ni mke wako tu. Ukipenda sana aendane na mazingira ya out, ipo siku utalia.

Ridhika na uamini kuwa hakuna mwanamke mzuri zaidi ya mkeo. Au wakati wa kujiandaa kama nguo zipo nyingi ingia naye mchagulie wewe tena kwa kimahaba zaidi!

Usipende mkeo awe na muonekano wa kikahaba. Acha ajitofautishe.
Mimi naamini hata wanaoenda bar, akiingia mke wa mtu wanajua na akiingia malaya /au kahaba wanajua mabaharia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakae muoa atapata kitu chema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna raha ukipata mwanamke anayejielewa sana !! Kuliko yule yupo yupo anazania alivyokupa mapenzi eti ndio umekolea!!

Unabaki tu kumuona alivyo poyoyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki ya nani penye miti hakuna wajenzi,yaani huyu bwege kabahatisha mke Safi ,anakuja kumfungulia uzi wa masimango huku? *****
Naanza kuamini ile kauli ya Wanaume tunazidi kupungua kila siku.

Japokuwa mke hajui lolote ila jamaa anatakiwa akamuombe msamaha. Maana mke kajielewa kuliko mume!

Hao wanawake ndiyo tunawatafuta ili tuweke ndani, yeye anakandia.

Kama ameweza kumfungulia uzi kwa kufanya jambo zuri, je angefanya jambo baya!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom