Yangu ni machache tu.
Wanawake wa Kitanzania walioolewa wanakera sana. Ukimwambia kajiandae tutoke tukakae mahali tukale mbuzi choma, ataingia ndani akitoka utamwona na bonge ya kitenge cha wax na kilemba juu.
Basi mkifika sehemu husika maongezi yake ni ligi tu. Mbona hivi. Mbona yule mwanamke anakuangalia sana. Mbona??
Lakini ukitoka na mchepuko kwanza atakuwa kavaa kiguo special for you magoti yanaoneka halafu maongezi ni ya kukupa matumaini kwamba jioni uongo.
Mlioolewa mnakwama wapi?