Wanawake jinsi walivyo sio waaminifu

Ni hatari sana! mwanzoni hii thread nilikuwa naipita tu coz heading haikunishawishi niifungue, ila leo sijui nini kimeniambia niifungue...!

Nawaza hapa sijui niachane na mchumba wangu!!
 
Me niliambiwa tu mke kachepuka na mtu nilitetemeka sikumbuki toka nizaliwe niliwahi kupatw n hali hiyo.wazaz wakaja juu nimuache ila nikawaomba ushahid ukakosekana maana sasa ilibid nimtetee mke ndugu wote wamemkaba koo yeye.niliwaomba wamuache km hyo tabia anayo iko cku nitajionea kuliko kuskiliza vitu havina evidenc.ndo bado nipo nae life goes on nasubir hiyo siku nimdake
Be careful what you wish for.
 
Mara nyingi
Dah....its sad...kuna watu wana bahati wanazichezea...I wish....
Mara nyingi nilidhani hizi story huwa za uongo na kutunga lakni nimeshuhudia kwa macho na masikio kisa kama hiki
Hakika mwanamke ni kiumbe katili kuliko wote
Wanawake ni viumbe ambao hushawishika kwa vitu vidogovidogo
 
Mara nyingi
Dah....its sad...kuna watu wana bahati wanazichezea...I wish....
Mara nyingi nilidhani hizi story huwa za uongo na kutunga lakni nimeshuhudia kwa macho na masikio kisa kama hiki
Hakika mwanamke ni kiumbe katili kuliko wote
Wanawake ni viumbe ambao hushawishika kwa vitu vidogovidogo
 
Wanaume wa hivo ndo kina Franco mwanamke umbane wa nini ila kuwa na misimamo ambayo anajua kabisa Mme wangu nikimshika ndevu halegei ko hata kama hujambana anakua anajua kabisa kwamba huyu jamaa ni kichaaa.
Kuna dem aliwahi kunidharau kipindi cha nyuna hadi raha akiambiwa Leo wanaume asiowapenda atanitaja Mimi. Nko nae geto anapiga na kupigiwa ananiambia nimsindikize kuchukua mzigo namsindikiza wanachat na jamaa we anapewa hela tunarudi geto ananilipa ushuru.
Siku nimemfanyia yangu alibeba chupi zake na kuapa hatorudi tena kwangu nkamwambia usiondoke bado bakuitaj akasema subutuuuu akabamiza mlangoo nikabaki nacheeeka toka siku io sihawai kusumbuliwa na hawa viumbe dawa yao ndogo sana
hahhaaaha noma
 
Mapenzi ni ujinga thats what i can say maana hawa mama zetu ni wapuuzi tu mie sina imani na mwanamke hata siku moja, ngoja nizeeke hivi hivi
 
Aisee ktk story zote hii imenisikitisha! ombi kwa wanawake wenzangu mliobahatika kupata mwanaume kama Franco tulieni jamani, msiwaumize wenzenu inauma sana, majaribu yapo lkn mengine tunajitafutia ukiona company uliyonayo inakupotosha achana nayo marafiki wa cku hiz xo wazuri mume anakupa kila unachotaka lkn bado tu huridhiki mm cjaolewa lkn nimejifunza kitu ktk ujumbe huu imeniuma sana wanawake wenzangu mlio kwny ndo/mahusiano msipende kutoa no kwa wanaume wenye nia mbaya kua makini na ndoa zenu msiwe vyanzo vya matatizo! siko tayari kumsumbua mwanaume anaejitambua na kujiheshimu.
Nawatakia Pasaka njema wanajf.
 
We bb glory sio wanawake wote kuna wanawake watulivu mpaka mwenyewe utapenda! mbona wanaume nao wapo wengine wasumbufu ndio maana wanasema ndoa ni uvumilivu! unapoingia kwny taasisi hyo lazima ujipange sawasawa.
 
Safi Franco wewe ni mwanaume wa kweli unajua thamani ya mwanamke una emotional intelligence na tatu unajiamini kiume safi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom