Wanawake jiheshimuni basi

Mapokez na matarajio yamekuwa tofaut kjana, umeonekana mjinga bure,,,,nalog off
 
naona kuchorana kunaendelea tu hapa........!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
umeona eeh...eti ugomvi ulikuwa mkubwa na walipigana kweli kweli akashindwa kuamulia akaishia kusaidiwa na dada mlinzi shirikishi.....
tena anasema bila aibu.
 
Hyo nayo ni kweli. Yani akili zake na huyo mwanamke zote sawa
 

heheeeh babu tafa eeee ....! Tena utukome!!

Eti mna akili mbili tatu... We mamaako ana ngapi??watu mkishabadili sauti zikawa nzito basi mnaona mmemaliza!!!

Kwanza me nngekuwa huyo demu wako asee pangechimbika!!!khaa eti nkashindwa kuamulia!!! Asee me sielewagi...as long as tupo pamoja..ur responsible for me!!
Halafu kauli ya WANAWAKE JIHESHIMUNI... Mwambie demu wako kwanza ! Ataishije nawewe kabla ya ndoa kama mke na mume!!???kwa taarifa yako as long as huna ndoa.. Still upo sokoni!!!ndo mana kala kichapo(teh teh jus kidn i knw hakustahili kichapo)

then inaelekea kuna something unaficha behind all that!! Come out clean dude!!

Then why unaweka x kwenye s?????????tatizo ni nini?
 
Ukitaka mwanamke asikusumbue mwambie jogoo lako halipandi mtungi...

hahahahaha atakwambia nitalipandisha. kuna mmoja nilimwambia gar langu haliwaki akaniambia atalisukuma anajua likifika kwenye mteremka litawaka tu
 
Maelezo mengi kumbe mjinga ni wewe uliyegonganisha magari.

hata mimi nimemdharau maana mwanaume mwenye akili na anayempenda mpenzi wake hawezi ruhusu huo ujinga utokee.
Yaanii ningekuwa huyo demu wako nakupiga chini. Na bila aibu unaandika kabisa ukashindwa ni yupi umtetee.
Pole kwa kuwa zombi
 
inavyoonyesha hata akioa atashindwa kumdefend mkewe.
umeona eeeeeeeeeeeeeeeeeee mwanaume suruali huyo ishu kama hiyo kashindwa kuisolve mpaka asaidiwe na mlinzi udhaifu wa kijinga huo mfano akitokea mwiz nyumbani kwake sindio atazama chini ya uvungu wa kitanda teh teh teh noma
 
akuboe mwingine ujumlishe na wanawake wote.

tafadhali rekebisha kauli zako mkuu.
 
DAh kwa nini hukumlinda mpenzi wako, umesababisha mtoto wa watu kapigwa au kuumizwa bila kosa, eti umekaa pembeni unawaangalia kweli wanaume wa siku hizi majanga matupu! unashindwa amulia ugomvi wa mpenzio! huwezi kuwa baba bora hata siku moja.
 

hahah..sasa apo mwanaume ni nani...?naona kama wote same gender
 
Jinga kweli wewe hivi uko sawasawa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…