Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,581
Time heals.Ila inanitafuna
Time heals.Ila inanitafuna
How long not long? how long a real healing time?Time heals.
Kama hukupendwa tulia fanya mambo mengine, ni ujinga kumsimanga mtu eti hakujua nia yako...kwani yeye nabii anayeona mioyoni? Unajuaje na huyo mwanaume wake hakumuahidi maisha aliyohitaji. Wanaume wa stori za hivi ni loosers kwa kweli, kama hukupendwa move on sio unamsema sema mtu wewe ungeachwa kwa ajili ya mwanaume mwingine ungefurahi?!Nashangaa sana kwanini wanawake huwa sometimes hamuoni mbali. Kuna jamaa mmoja rafiki wa karibu sana miaka mitatu iliyopita alitokea kumpenda mdada mmoja hivi sasa jamaa alikuwa yupo tayari kwa asilimia 100 kuanza life na yule dada kwakuwa alimuelewa sana ila cha kusikitisha japo na ukaribu na ugentleman na love aliyokuwa akimuonesha yule dada, bado alipewa za mbavu baada yule dada kumwambia hawezi kua nae kwasababu anajamaa yake wa mda mrefu na jamaa akimaliza masomo yake ya udaktari atamuoa. jamaa alinywea na akasema poa ila hatoweza tena kuwa rafiki kama walivo kwa sababu atakuwa unaumiza moyo wake. Miaka mitatu imepita ya ni wa 4 sasa demu hajaolewa yani jamaa yule prince charming daktari kafanya yake sana sasa amepita hivi, kila napokuwa na mshikaji akikutana na demu nia mambo tu basi ila demu analalamika kuwa jamaa kamuwekea tinted ila jamaa hapo hapo anamuuliza kivipi demu anasema kuwa siku hizi unanichunia na haupo karibu tena, jamaa anamwambia kuwa ww ulizingua miaka mi 3 iliyopita saivi tungekuwa mbali sana endapo tungekuwa pamoja basi demu anashoboka kuwa hata sasa bado tunaweza, jamaa anamwambia haiwezekani moyo wangu upo kwa mwengine.
DEMU SIKU HIZI KAOKOKA NA ANAPIGA FIRE SANA AKISALI APATE MUME.
SASA NAJIULIZA WAKATI JAMAA YUPO ALIJIONA EXPENSIVE NA UMRI UNAENDA MANZI ANA 29 NA SAIVI AMEKUWA ANAKITEMBEZA SANA. Jamaa anacheka na kusikitika maana ni jambo la ajabu, jamaa is happily marriend. WANAWAKE HASA WA MAKAZINI MJIFUNZE KUWA SIO KILA MWANAUME ANAEKUFUATA ANATAKA AKUTOMBE AKUACHE, WENGINE WANA MTAZAMO MZURI SANA WA MAISHA NA NYIE HATA KAMA NDO KAANZA KAZI NA ANALALA CHINi MPE NAFASI KWANI BABA ZENU NA MAMA ZENU WALIANZA WAKIWA NA KILA KITU? Kumetokea kuwa na kundi kubwa la wanawake wasiolewa, single mothers, na wenye malengo ya kifamilia lakini hawafanikiwi kupata wenza kwasababu ya kuwa too materialistics hasa walioko makazini kwaajili ya kuchagua maisha mazuri na wakiwa hawataki kuanza chini na wenza MTASUBIRI SANA.
Nadhani kwa hii story fupi lazma wale mlioko kama huyo dada mtajiongeza, know the intentions, dont waste you time and luck. or else mtazeekea kwenu na single.
Kama hukupendwa tulia fanya mambo mengine, ni ujinga kumsimanga mtu eti hakujua nia yako...kwani yeye nabii anayeona mioyoni? Unajuaje na huyo mwanaume wake hakumuahidi maisha aliyohitaji. Wanaume wa stori za hivi ni loosers kwa kweli, kama hukupendwa move on sio unamsema sema mtu wewe ungeachwa kwa ajili ya mwanaume mwingine ungefurahi?!
hapo naona demu hana kosa kabisa kwani alijiheshimu kwa jamaa yake kutunza uaminifu wake, ila jamaa dr ndio amezingua, kwa sasa dem asikitembeze bure ajitulize nakufanya sala sana mungu atamsikia ,
alisimamia ahadi yake na mpenzi wake ndio maana hayo yot yametokea , mungu ni mwema atamjibu, ila asifanye dhambi yoyote kwa sasa
Kwahiyo ulitaka amuache jamaa yake kwasababu ya rafiki yako?
Mimi Dr wangu namsubiri mpka Leo... Nyie Oweni!!hahaha mtoa mada umetoa kisa kimoja kinafanana na ninchokijua sema nn huyo binti hakitembezi!!!
Tatizo kumjua mkweli yupi na muongo yupi ni ngumu sana sababu hawana alama....huyo Dada hajakosea chochote
NdiooooWATU WA NAMNA HIYO WANATAKIWA KUCHAPWA VIBOKA 40, HUWEZI MFANYIA MWENZIO IVO
Tatizo kumjua mkweli yupi na muongo yupi ni ngumu sana sababu hawana alama....huyo Dada hajakosea chochote
Mke/mume mwema anatoka kwa bwana [emoji3]Kweli ilo nalo changamoto ndo maana unaambiwa mtangulize Mungu, huo mchezo hauitaji hasira
Yeye hakuona sawa kwa wakati huo. Sio kitu cha kulaumu.KWA WAKATI ULE NAONA INGEKUWA SAWA TU. JE, WW?
Yeye hakuona sawa kwa wakati huo. Sio kitu cha kulaumu.
Ina maana tukitongozwa tukubali tu hata kama tuna wapenzi wetu? Yaani tuwapige chini wapenzi wetu tukubali wapya?
Kwenye kusoma alama za nyakati ndio hapo pagumu, na unapokuwa kwenye uhusiano na mtu imani yako inakuambia kuwa huyu ndio sahihi, na akitokea mwingine huwezi kukubali kirahisi hasa kama ulienae unampenda. Na hii ni kwa jinsia zote.demi: come on that's a figure of speech you hitting me with. Sina maana iyo ila kusoma alama za nyakati nadhani ni muhimu sana. Nadhani kila mtu somewhere shit happens na huwezi laumu.