[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani wote waliomkubalia aliwaoa?!
Mimi kuna wanawake walinikataa na maisha yao sasa ni mazuri zaidi yangu mpk naona ningewaharibia maisha tu na wapo walionikataa na hawajaolewa mpk leo lkn nina uhakika hata wangenikubali nisingewaoa.
Baada ya kusema haya haina maana nikienda pm ya mtu ndio anikatae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo n vais vesa
Bora umewaambia mapemaNimewapa angalizo wasije wakadhani kunikataa ndio watatoboa na wao
usilipie chochote leo... nipigie mahesabu niambie nitamwaga noti... umenikosha sana..!!!!Mhh siwezi kumlaumu huyo Dada kwa asilimia mia. Rafiki yako alimkuta na mtu ingawa mtu huyo alikuwa masomoni mbali. Huyu dada aliweka matumaini yake kuolewa na boyfriend wake wa mda mrefu hakujua kama angedanganywa. Je angefanyaje? Moja amdanganye rafiki yako waanze uhusiano huku akijua bado ana mtu anamsubiri halafu asikilizie patapotick ndoa. Au awe mkweli kwa rafiki yako ingawa ndo akaja kuangukia pua.
Haya mambo yanataka sana kutafakari unaweza kuwa na nia njema na bado ukaumizwa.
Espy wakwangu ameolewa na jamaa unamtunza vizuri kuliko mimi amenenepa kama mbuyu. Ipo siku labda na mimi nitakuwa na pesa ninenepe.Sielewi unashangaa nini hapo, sijaona kosa la huyo binti. Alimpenda mtu wake na alikuwa mwaminifu kwake. Ila mwanaume ndio akazingua, sasa unachomlaumu ni nini? Kwani yeye Mungu useme alijua ataachwa na daktari!!!!
Hapo ndipo huwa siwaelewi wanaume aisee!!!
Yaani umenifanya nicheke kama mazuri.Espy wakwangu ameolewa na jamaa unamtunza vizuri kuliko mimi amenenepa kama mbuyu. Ipo siku labda na mimi nitakuwa na pesa ninenepe.
Kwa kweli mungu siyo Athumani mbonaYaani umenifanya nichee kama mazuri.
Usijali mkuu, nawe utanenepa tu one day.
Ndio hivyo mkuu. Inaelekea hili jambo lilikuvuruga sana aisee!!Kwa kweli mungu siyo Athumani mbona
Kama upo DAR tukutane nikupe evidence ndoo utajua mie naishi Dar.Ndio hivyo mkuu. Inaelekea hili jambo lilikuvuruga sana aisee!!
Sikupanga kuoa na kuachana.Ndio hivyo mkuu. Inaelekea hili jambo lilikuvuruga sana aisee!!
Yote maisha.Sikupanga kuoa na kuachana.
Ila inanitafunaYote maisha.