WANAWAKE JF WANALOCK IJE PMs ZAO?

WANAWAKE JF WANALOCK IJE PMs ZAO?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,649
Reaction score
4,756
Nasikia sikia tu humu ndani...huwezi kumtumia huyu Member message...

Na mimi nikajaribu kwa mmojawapo wa walalamikiwa...

Tunaomba tufahamu...hiyo program ya kulock PMs ni ya wadada tu au...?

Maana kwenye settings zangu nimetafuta weeeh sioni kitu kama hicho...au wenzangu wengine nijuzeni...kila mtu ana kamfumo kake eeh...?
 
Mi sijui jins ya kulock na wala sitaki kujua pm yangu iko waz na hakuna mtu sijawai mjibu sms block zinakujaga watsap tuu ukishindwa kuficha utoto au upuuz wako hadi kwenye kuchart.


Basi mtoa mada anautoto mwingi ndomana anaambulia makufuli[emoji23][emoji23]
 
Serikali ya awamu ya 5 ya mheshimiwa mpendwa wetu Dr John Joseph pombe magufuli...kuna watu ndio mungu wao uyo...
Avatar na ulicho andika tofauti.. Mwenyezi Mungu atakukumu kwa hiyo dhana na upotofu wako. Adhana llah minal zalika.
 
Avatar na ulicho andika tofauti.. Mwenyezi Mungu atakukumu kwa hiyo dhana na upotofu wako. Adhana llah minal zalika.
Ndio ni mungu wao...kama na wewe ni wao na wewe humo humo...huwezi mtukuza mtu kiasi ambacho hata Mungu Muumba humtukuzi hivyo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom