KUCHA za kubandika hizo, na sio za kufuga Kiongozi.
Msafi wa kucha za kubandika ukitaka kumchunguza, fanya hivi:-
Kamata KIGANJA chake cha MKONO, kisha anza kukagua KIDOLE kimoja baada ya kingine kwa nyuma.
Ukiona KUCHA za Asili kwa Nyuma zipo Safi, basi ujue huyo anazisafisha.
Na ukiona CHAFU, au zina rangi za ajabu ajabu ujue hapo USAFI sifuri.
Na kwa anaejali usafi wa KUCHA, muda wa kufanya USAFI au KUPIKA, au shughuli zingine zozote za Nyumbani za kutumia MKONO/MIKONO huwa wanavaa GLOVES